mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
Wakuu eti kuna ukweli hii miaka tuliyonayo sasa kwa mfano mwaka huu wa sasa yani 2024 ndio umri halali wa Bwana wetu Yesu Kristu (Neema na amani iwe juu yake!)
Yaani miaka hii tuliyonayo ilianza kuhesabiwa mara tu baada ya kuzaliwa kwa masihi, Bwana wetu Yesu Kristu?
Je, kuna ukweli? Na kama ni kweli ni kwanini walisubiri hadi masihi azaliwe ndio waanze kuhesabu?
Je, hiyo miaka ya nyuma kulikuwa na shida gani iliyofanya wasihesabu miaka hadi wasubiri kuzaliwa kwa masihi, asiye na waa la dhambi yeyote, mpalizwa mbinguni, Mwana wa mungu, Mwanga kwa Mwanga, Bwana wetu Yesu Kristu azaliwe?
Je, hiyo ina maana gani au ndio kusema Bwana wetu Yesu Kristu ndio ndiye mtawala halali kabisa wa dunia hii?