Je, kuna ukweli hii miaka tuliyonayo ndio umri wa Yesu Kristu?

Kwenye history huwa matukio yanaandikwa yalitokea miaka kadhaa kabla ya kuzaliwa Christ na mengine huandikwa yalitokea miaka kadhaa baada ya kuzaliwa Christ.
Mfano Qur'an iliandikwa miaka 600 baada ya kuzaliwa Christ.
Mungu ndo aliamua kufanya hesabu zake kuzingatia muda ataozaliwa mwanae wa pekee. Ilipofika mwaka 0 Yesu akazaliwa wakaanza kuhesabu kuanzia hapo.
Una uhakika mkuu
 
Kama iliweza kujulikana mwaka wake wa kuzaliwa (kama huo mwaka ni kweli) kwa nini ni ngumu kujua kwa ufasaha mwezi na tarehe aliyozaliwa mtu muhimu kama yeye?
 
2024 AD. (Anno Domino) neno Anno Domino maana yake mwaka wa bwana (YESU).

Kwa hiyo 2024 ni mwaka baada ya kuzaliwa YESU.
 
Kama iliweza kujulikana mwaka wake wa kuzaliwa (kama huo mwaka ni kweli) kwa nini ni ngumu kujua kwa ufasaha mwezi na tarehe aliyozaliwa mtu muhimu kama yeye?
Wakati huo miezi na siku haikuwa imepewa majina kama vile alhamis jumatatu, au december, January haya majina hayakuwepo.
Wewe tizama kweñye kabila lenu mwezi May, April nk zinaitwaje.
Haya majina tumeyapachika tuu kukidhi haja ya kuwasiliana.
Kiswahili pia hakuna majina, utasikia mwezi wa kwanza, pili hadi wa kumi na mbili.
 
Vigezo vile vile vilivyotumika kuanza kuhesabu mwaka wa kwanza hadi unakamilika, na wa pili, wa tatu na kuendelea walishindwaje kuvitumia kwenye kupata mwezi hata tarehe aliyozaliwa kwa kutumia hayo majina mapya ya mwezi na siku?
 
siku mwezi na mwaka sahihi alizaliwa Yesu havijulikani, hata alivyokua akiishi walimchukulia kawaida kama tumtu mwenye busara,

hivyo hawakujua wala hawakua na kimbukumbu kumhusu ndo maana hata habari zake zinasimulia akiwa na miaka 30 ( baada ya kuanza kazi rasmi na watu kuanza kumuelewa )

ukristo unaenea vizuri miaka 30 naadae ( miongoni mwa injili ya kwanza inaandikwa 60 AD )

Je wangejuaje siku halisi na mwaka ikizingatiwa hawakua na uwezo kama wa sasa wakutunza kumbukumbu ?
 
Hivyo hawakujua wala hawakua na kimbukumbu kumhusu ndo maana hata habari zake zinasimulia akiwa na miaka 30 ( baada ya kuanza kazi rasmi na watu kuanza kumuelewa )
Yaani wajue kwamba ana miaka 30 leo halafu washindwe kujua amezaliwa mwaka gani? Inawezekanaje hilo? Mbona kuna watu wengine mashuhuri wasiomfikia yeye na waliozaliwa kabla yake lakini tarehe zao sahihi za kuzaliwa zinajulikana. Mfano Alexander the Great alizaliwa July 356 BC na kufariki June 323 BC.
 
Alexander alikua mtoto wa mfalme ni mtu muhimu kwaiyo walishajua atakuja kua mfalme,

Yesu alikua mtu wa kawaida mtoto wa Fundi seremala hata story za utotoni mwake ni ngumu kuzipata kwaiyo hawakua na interest hiyo wengi wamekuja kumjua na kumuelewa miaka mingi sana imeshapita.
 
Naweka tu hizi
1000016994.jpg

1000016995.jpg
 
siku mwezi na mwaka sahihi alizaliwa Yesu havijulikani, hata alivyokua akiishi walimchukulia kawaida kama tumtu mwenye busara,

hivyo hawakujua wala hawakua na kimbukumbu kumhusu ndo maana hata habari zake zinasimulia akiwa na miaka 30 ( baada ya kuanza kazi rasmi na watu kuanza kumuelewa )

ukristo unaenea vizuri miaka 30 naadae ( miongoni mwa injili ya kwanza inaandikwa 60 AD )

Je wangejuaje siku halisi na mwaka ikizingatiwa hawakua na uwezo kama wa sasa wakutunza kumbukumbu ?
Ahsante japo bado inaniletea maswali zaidi. Kwamba mtoto Yesu alikuwa wa "kawaida" wakati alipozaliwa nyota yake angani haikuwa ya kawaida na watu walisafiri umbali mrefu kwenda kumwona. Pia, kuzaliwa kwake kulionekana kuwa tishio kwa mfalme Herode hadi kupelekea mauaji ya watoto wengi wa kiume walio chini ya miaka miwili kwenye ufalme wake wote. Ndiyo iwe ngumu kwa ufalme wa Herode na watu wengine wenye kuweka kumbukumbu za matukio makubwa ikiwemo hilo la tarehe, mwezi na mwaka kulipotokea tukio hilo la mauaji ya watoto wa kiume walio chini ya umri huo niliotaja kwenye ufalme wote ambalo lilikuwa ni tukio la aina yake?
 
hizo story zote zimeandikwa miaka zaidi ya 70 baada ya kuzaliwa kwake

injili ya kwanza kabisa kuandikwa imeandikwa na Marko 77AD, na wala haiongelei chochote kuhusu utoto wa Yesu inaanzia tu maisha ya Yesu anapobatizwa akiwa na miaka 30

vitabu vingine ndo vinafata miaka mingi baada ya marko kuandika, wengi wamekopi kutoka kwa marko

matayo pekeyake ndo anataja habari ya nyota

all in all yesu alionekana tu ni mtu wa kawaida, alipoanza kuhubiri wengine pia wakamuona tu kama mwalimu wa dini mwenye busara, ( vitabu vingine vya kihistoria tofauti na vya dini vinamtaja hivyo )

na ndo maana aliuawa maana mafundisho yake yalipingana kwa namna fulani na imani ya kipindi hicho akaonekana anapotosha na akashitakiwa kwa kukufuru na kupotosha ( hadi vitabu vingine history of antiquty vya wanahistoria wa kale vinaelezea baadhi ya hayo matukio )

ila influence ilizidi kua kubwa baada ya kufa na kufukuka na habari zake zikazidi kusambaa, miaka mingi ikawa imeshapita,

waliomjua mwanzo ni wachache mnooo
 
Back
Top Bottom