Una uhakika mkuuKwenye history huwa matukio yanaandikwa yalitokea miaka kadhaa kabla ya kuzaliwa Christ na mengine huandikwa yalitokea miaka kadhaa baada ya kuzaliwa Christ.
Mfano Qur'an iliandikwa miaka 600 baada ya kuzaliwa Christ.
Mungu ndo aliamua kufanya hesabu zake kuzingatia muda ataozaliwa mwanae wa pekee. Ilipofika mwaka 0 Yesu akazaliwa wakaanza kuhesabu kuanzia hapo.
🤣🤣🤣🤣🤣Mzee kipindi mwalimu anatufundisha kuhusu AD na BC wewe ulienda kununua bagia na visheti?
Hiyo mbona historia ya shuleni tuu ya kàwaida siyo ya kidini.Una uhakika mkuu
Una mdomo kweli 🥴Hiyo mbona historia ya shuleni tuu ya kàwaida siyo ya kidini.
Kwani wewe uliishia darasa la ngapi? Tuanzie hapo.
du mipasho tena?Una uhakika mkuu
🤣🤣Tulia wewee🤒du mipasho tena?
Kama iliweza kujulikana mwaka wake wa kuzaliwa (kama huo mwaka ni kweli) kwa nini ni ngumu kujua kwa ufasaha mwezi na tarehe aliyozaliwa mtu muhimu kama yeye?Kwenye history huwa matukio yanaandikwa yalitokea miaka kadhaa kabla ya kuzaliwa Christ na mengine huandikwa yalitokea miaka kadhaa baada ya kuzaliwa Christ.
Mfano Qur'an iliandikwa miaka 600 baada ya kuzaliwa Christ.
Mungu ndo aliamua kufanya hesabu zake kuzingatia muda ataozaliwa mwanae wa pekee. Ilipofika mwaka 0 Yesu akazaliwa wakaanza kuhesabu kuanzia hapo.
Wakati huo miezi na siku haikuwa imepewa majina kama vile alhamis jumatatu, au december, January haya majina hayakuwepo.Kama iliweza kujulikana mwaka wake wa kuzaliwa (kama huo mwaka ni kweli) kwa nini ni ngumu kujua kwa ufasaha mwezi na tarehe aliyozaliwa mtu muhimu kama yeye?
Vigezo vile vile vilivyotumika kuanza kuhesabu mwaka wa kwanza hadi unakamilika, na wa pili, wa tatu na kuendelea walishindwaje kuvitumia kwenye kupata mwezi hata tarehe aliyozaliwa kwa kutumia hayo majina mapya ya mwezi na siku?Wakati huo miezi na siku haikuwa imepewa majina kama vile alhamis jumatatu, au december, January haya majina hayakuwepo.
Wewe tizama kweñye kabila lenu mwezi May, April nk zinaitwaje.
Haya majina tumeyapachika tuu kukidhi haja ya kuwasiliana.
Kiswahili pia hakuna majina, utasikia mwezi wa kwanza, pili hadi wa kumi na mbili.
siku mwezi na mwaka sahihi alizaliwa Yesu havijulikani, hata alivyokua akiishi walimchukulia kawaida kama tumtu mwenye busara,Vigezo vile vile vilivyotumika kuanza kuhesabu mwaka wa kwanza hadi unakamilika, na wa pili, wa tatu na kuendelea walishindwaje kuvitumia kwenye kupata mwezi hata tarehe aliyozaliwa kwa kutumia hayo majina mapya ya mwezi na siku?
Yaani wajue kwamba ana miaka 30 leo halafu washindwe kujua amezaliwa mwaka gani? Inawezekanaje hilo? Mbona kuna watu wengine mashuhuri wasiomfikia yeye na waliozaliwa kabla yake lakini tarehe zao sahihi za kuzaliwa zinajulikana. Mfano Alexander the Great alizaliwa July 356 BC na kufariki June 323 BC.Hivyo hawakujua wala hawakua na kimbukumbu kumhusu ndo maana hata habari zake zinasimulia akiwa na miaka 30 ( baada ya kuanza kazi rasmi na watu kuanza kumuelewa )
Alexander alikua mtoto wa mfalme ni mtu muhimu kwaiyo walishajua atakuja kua mfalme,Yaani wajue kwamba ana miaka 30 leo halafu washindwe kujua amezaliwa mwaka gani? Inawezekanaje hilo? Mbona kuna watu wengine mashuhuri wasiomfikia yeye na waliozaliwa kabla yake lakini tarehe zao sahihi za kuzaliwa zinajulikana. Mfano Alexander the Great alizaliwa July 356 BC na kufariki June 323 BC.
Chakula cha ubongo hiki...Haita kusaidia kitu dili na mambo ya maana ndugu, hili halitakupa hata ugali mezani!
Ahsante japo bado inaniletea maswali zaidi. Kwamba mtoto Yesu alikuwa wa "kawaida" wakati alipozaliwa nyota yake angani haikuwa ya kawaida na watu walisafiri umbali mrefu kwenda kumwona. Pia, kuzaliwa kwake kulionekana kuwa tishio kwa mfalme Herode hadi kupelekea mauaji ya watoto wengi wa kiume walio chini ya miaka miwili kwenye ufalme wake wote. Ndiyo iwe ngumu kwa ufalme wa Herode na watu wengine wenye kuweka kumbukumbu za matukio makubwa ikiwemo hilo la tarehe, mwezi na mwaka kulipotokea tukio hilo la mauaji ya watoto wa kiume walio chini ya umri huo niliotaja kwenye ufalme wote ambalo lilikuwa ni tukio la aina yake?siku mwezi na mwaka sahihi alizaliwa Yesu havijulikani, hata alivyokua akiishi walimchukulia kawaida kama tumtu mwenye busara,
hivyo hawakujua wala hawakua na kimbukumbu kumhusu ndo maana hata habari zake zinasimulia akiwa na miaka 30 ( baada ya kuanza kazi rasmi na watu kuanza kumuelewa )
ukristo unaenea vizuri miaka 30 naadae ( miongoni mwa injili ya kwanza inaandikwa 60 AD )
Je wangejuaje siku halisi na mwaka ikizingatiwa hawakua na uwezo kama wa sasa wakutunza kumbukumbu ?
hizo story zote zimeandikwa miaka zaidi ya 70 baada ya kuzaliwa kwakeAhsante japo bado inaniletea maswali zaidi. Kwamba mtoto Yesu alikuwa wa "kawaida" wakati alipozaliwa nyota yake angani haikuwa ya kawaida na watu walisafiri umbali mrefu kwenda kumwona. Pia, kuzaliwa kwake kulionekana kuwa tishio kwa mfalme Herode hadi kupelekea mauaji ya watoto wengi wa kiume walio chini ya miaka miwili kwenye ufalme wake wote. Ndiyo iwe ngumu kwa ufalme wa Herode na watu wengine wenye kuweka kumbukumbu za matukio makubwa ikiwemo hilo la tarehe, mwezi na mwaka kulipotokea tukio hilo la mauaji ya watoto wa kiume walio chini ya umri huo niliotaja kwenye ufalme wote ambalo lilikuwa ni tukio la aina yake?