Harathony Senior Member Joined Oct 22, 2014 Posts 179 Reaction score 156 Apr 7, 2016 #1 Nmesikia baadhi ya watu wakisema kua "Ukiona katika mtaa unaoishi hakuna chizi, basi ujue wewe ndio chiz"
Nmesikia baadhi ya watu wakisema kua "Ukiona katika mtaa unaoishi hakuna chizi, basi ujue wewe ndio chiz"
1974hrs JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 741 Reaction score 536 Apr 7, 2016 #2 Kweli wewe ndo chizo
Harathony Senior Member Joined Oct 22, 2014 Posts 179 Reaction score 156 Apr 7, 2016 Thread starter #3 Ata mimi nmekuona
Harathony Senior Member Joined Oct 22, 2014 Posts 179 Reaction score 156 Apr 7, 2016 Thread starter #5 makutu said: Chizi mwenyewe Click to expand... Unamaanisha kwenye mtaa wako chiz mwenyew?
kinumi JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 1,027 Reaction score 746 Apr 7, 2016 #6 JF kuna mambo ngoja mwezi wa 6 ufike visimu vya kichina vizimwe tupunguze machizi
swissme JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 13,663 Reaction score 19,894 Apr 7, 2016 #7 hahahaha mtaa wa lumumba. swissme