Je, kuna ukweli kuhusu Phobia na Mental Disorders?

Ophidiophobia ni fear ya kuwa karibu na nyoka! Hivi kuna mtu ambaye hana Ophidiophobia yaani awe nyoka wa kijani, sijui nyoka gani ila siwezi kukaa karibu na nyoka 🐍
labda wale wanaowafuga nahisi ndio hawana hyo phobia, hivi phobia zinatibika kwa psychic evaluation tu au hata vidoge huwa vipo
 
Inaitwa height phobia hata mimi ninayo hapa kupanda juu ya bati tu siwezi
 
Atelophobia hiyo mkuu! Pole sana! Nyie ndio watu mnataka mpaka nguzo za fence ziwe kwenye mstari mnyoofu kabsa
Hata mimi niko hivo, hata nikienda kutembea kwa mtu nikikuta vitu vyake havijapangwa naviweka vizuri, napenda vitu vilivyo nyoka, kama mtu amepalilia halafu akacha hata kajani kamoja napata amani mpaka nikatoe tu
 
Wewe utakuwa na jini Maimuna!
Just a Joke!
 
Wengi Nina uhakika hatupo sawa, sema ni hivyo Tu ilimradi tunavuka barabara bila kugongwa na gari tunajihisi wazima.
Kuna phobia za ajabu ajabu hatari πŸ˜ƒ eti jamaa ana phobia ya jasho eti hyperhidrosis πŸ˜ƒ halafu ananuka kibeberu hatari
 
Mkuu nakuelewa sasa usiombe ukae na mtu asie jali mazingira utakonda kwa depression πŸ˜€πŸ˜€
Wewe ni Twin
Ni balaa, maana wasiojali wapo wengi,Mimi kufagia na kudeki ni dakika sifuri tu, maana siwezi kuvumili naona vumbi kwenye kona ya chumba na mimi nipo.
Kuna kipindi nilikua taasisi fulani kozi ya mwezi mmoja sasa nikaona chupa za maji zimezagaa sana pale maana wanachukua intake ya watu kuanzia 100 hadi 300 na wanakaa mwezi mzima sasa chupa zinatupwa hovyo, ilinikera nikaamua kwenda mjini kuongea na Jamaa fulani huwa wanakusanya chupa na gari kubwa kwa ajili ya ku recycle, nikachukua namba nikamwambia nitakupigia jamaa alifurahi, bahati mbaya yule Boss wa ile taasisi nilipanga nimwambie akasafiri na mimi muda ukawa umeisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…