Je, kuna ukweli kuwa Afrika hatuathiriki sana na Covid-19 kwasababu tunaendelea na maisha bila Hofu?

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
Hello JF,

Je, ni kweli wa Africa hatufi sana na Corona sababu tunaendelea na maisha yetu ya kawaida bila UOGA?

Uoga unaleta stress ambayo ina lower immunity make you vulnerable to the virus infection. Sisi hatuna hio stress.

I just think mfano England, those 'daily briefings' send people to panicking mode.

Matokeo yake stress zinaongeza wagonjwa.

Ila bila proper documentation we will never know the magnitude of the problem. Kwa hio Africa tuache kufanya mambo kienyeji.

Serikali ifanye ku acknowledge kuwa kuna tatizo, ila iweke mkazo on postives, not sending people to packning mode.

Ni hayo tu.
 
Why does this not happen to other diseases? We have a burden of all diseases on earth! Let us look at other biological/scientific factors, though and I do really appreciate, it is not bad to speculate as you have put it! Ni one of the hypothesis to be tested! tena scientifically na siyo mtu mmoja kutuambia kutoka kwenye mimbari ya kisiasa.
 
i think there are disorders that are restricted to specific places and certain cultures. i agree lisiwe jambo la mtu mmoja..
 
That is what we call disease epidemiology..... sasa ukiacha may be SA, In africa, (I stand to be corrected) hakuna anayefanya research on the epidemiology of coronavirus/disease among our societies
 
Daily briefings ni practice ya kawaida kabisa kunapotokea magonjwa ya mlipuko. Huwa Tanzania inafanya hivyo pia, hasa kipindi kuna cholera, chikungunya etc. Tulifanya hivyo pia mwanzoni wakati COVID ilipoanza.

Siamini kama kuficha data (hata za cases tu, sio vifo) ni njia sahihi. Infact ninaamini data zikitolewa, itachangia kuongeza hamasa ya watu kujichunga zaidi (hofu in a positive way..)

Nani kasema hatufi? Jirani yangu leo tu kavuta..
 
Mada nzuri ila mnaiharubu mnapokuwa kama 'ushomile infact and ze cargo'

Ni kuwa watu wamehathirika na wengine wanatembea na ugonjwa, wakiambukiza wengine pasipo kujijua huku maisha yakiendelea.

Kinga ya mwili (white blood cells) inafanya kazi yake kwa kasi sana kupambana na huyo jamaa covid, ukweli ni kuwa ikitokea kipimo kwa kila mtu basi % kubwa ya watz tuna covid.
 
Hello JF,

Je, ni kweli wa Africa hatufi sana na Corona sababu tunaendelea na maisha yetu ya kawaida bila UOGA?

Uoga unaleta stress ambayo ina lower immunity make you vulnerable to the virus infection. Sisi hatuna hio stress.

I just think mfano England, those 'daily briefings' send people to panicking mode.

Matokeo yake stress zinaongeza wagonjwa.

Ila bila proper documentation we will never know the magnitude of the problem. Kwa hio Africa tuache kufanya mambo kienyeji.

Serikali ifanye ku acknowledge kuwa kuna tatizo, ila iweke mkazo on postives, not sending people to packning mode.

Ni hayo tu.
Ni ngumu kujua ukubwa ws tatizo kwasababu Hata takwimu hazitolewi ( maambukizi mapya, vifo, waliopona )
 
Daily briefings ni practice ya kawaida kabisa kunapotokea magonjwa ya mlipuko. Huwa Tanzania inafanya hivyo pia, hasa kipindi kuna cholera, chikungunya etc. Tulifanya hivyo pia mwanzoni wakati COVID ilipoanza.

Siamini kama kuficha data (hata za cases tu, sio vifo) ni njia sahihi. Infact ninaamini data zikitolewa, itachangia kuongeza hamasa ya watu kujichunga zaidi (hofu in a positive way..)

Nani kasema hatufi? Jirani yangu leo tu kavuta..
Wacha jirani yako mkuu , Juzi tumezika watu 2 wote majirani zangu hapa magomeni mapipa
Na leo hii 06/02/2021 kuna jirani yangu amevuta alianza kuumwa week hii akapelekwa Hospital ya Mloganzila na taarifa nilizozipata muda huu huyo mgonjwa amefariki, msiba unasafirishwa moshi.
Cov-19 hipo mkuu ,taadhari ni muhimu sana
 
Back
Top Bottom