MNYISANZU
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 7,046
- 1,102
Kwa maeneo mengi hasa ya mijini kila kona mfano kwenye magazeti, mabango na hata redioni kumekuwa na wimbi kubwa la matangazo ya waganga wa jadi ambao hujinadi kutoa dawa za mapenzi mfano kuongeza nguvu za kiume, kurud kwa mpenz wako uliyeachana naye within 2days, kujileta kwa umependaye mwenyewe na kukutimizia shida zako! Kumfunga mke au mme asitoke nje ya ndoa!na mengine mengi! Sisi kama wanajamii najua baadhi yetu wapo walioshawishka na matangazo ya huduma hzi jamaani tujuzen ni utapeli au