Je kuna ukweli wowote?? Au ni utapeli tu

Je kuna ukweli wowote?? Au ni utapeli tu

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
7,046
Reaction score
1,102
Kwa maeneo mengi hasa ya mijini kila kona mfano kwenye magazeti, mabango na hata redioni kumekuwa na wimbi kubwa la matangazo ya waganga wa jadi ambao hujinadi kutoa dawa za mapenzi mfano kuongeza nguvu za kiume, kurud kwa mpenz wako uliyeachana naye within 2days, kujileta kwa umependaye mwenyewe na kukutimizia shida zako! Kumfunga mke au mme asitoke nje ya ndoa!na mengine mengi! Sisi kama wanajamii najua baadhi yetu wapo walioshawishka na matangazo ya huduma hzi jamaani tujuzen ni utapeli au
 
99% Ni waongo na matapeli hawana vipimo na wanabahatisha (wagangaji) na hiyo 1% iliobakia wapo na wanafanya vitu vya ukweli kabisa,sasa it's upon ya rafiki kwani mpaka ugundue kuwa huyu ni wa-ukweli unawezajikuta umeliwa pesa kibao.
 
du kweli kaka wajinga ndio waliwao
 
uganga wa kienyeji au jadi ni mauzauza tu a.k.a uchawi 100%
 
Ucjaribu hata cku moja kuwatumia hao wezi tu, wana maneno mengi ya kukuvutia bt mwisho wa siku wanakuibia tu.
 
...jiulize hili swali..mganga anasema na dawa ya biashara...lakini yeye anajitangaza kwenye mabango kila kona..kwann asijifanyie dawa..wateja wakamfuata...?
 
umesahau moja pia wanasemaga kuongeza kinga za mwili cd4, hawa watu wanacheza na saikolojia tuu, wanajua sasahivi
waju akili zao ziko kwenye ngono tuu, kwahiyo hiyo ni biashara tuu dear
 
Back
Top Bottom