GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Inasemekana kwamba mashabiki wa......
Nawasilisha.
- Liverpool FC ni wapambanaji, majasiri sana na wamebarikiwa mno maishani.
- Manchester United ni wapenda maendeleo, mashujaa na ni Washirikina wazuri tu.
- Arsenal ni Watu wasiojitambua na hata muelekeo wao Kimaisha ni wa tia maji tia maji.
- Chelsea FC wengi wao ni Washamba sana, hawajui mpira na wanaongoza kwa Ufisadi.
- Manchester City ni Mabishoo halafu wengi wao wana Umama Umama mwingi
- Tottenham Hostpurs wengi wao huwa na nuksi nuksi nyingi hivi maishani.
- Everton FC wengi wao ni Vibaka Vibaka na Walevi kupindukia maisha yao yote.
Nawasilisha.