Je kuna ukweli wowote hapa kwamba........

Je kuna ukweli wowote hapa kwamba........

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Inasemekana kwamba mashabiki wa......
  1. Liverpool FC ni wapambanaji, majasiri sana na wamebarikiwa mno maishani.
  2. Manchester United ni wapenda maendeleo, mashujaa na ni Washirikina wazuri tu.
  3. Arsenal ni Watu wasiojitambua na hata muelekeo wao Kimaisha ni wa tia maji tia maji.
  4. Chelsea FC wengi wao ni Washamba sana, hawajui mpira na wanaongoza kwa Ufisadi.
  5. Manchester City ni Mabishoo halafu wengi wao wana Umama Umama mwingi
  6. Tottenham Hostpurs wengi wao huwa na nuksi nuksi nyingi hivi maishani.
  7. Everton FC wengi wao ni Vibaka Vibaka na Walevi kupindukia maisha yao yote.
Kwa mnaojua huu ukweli wa hizi Klabu na hizo Sifa zao tajwa hapo juu tafadhalini hebu basi nanyi tiririkeni na sererekeni kwani kwa Mimi binafsi baada ya kuziona mahala nimekubaliana nazo kwa 100% japo kiukweli Mimi hapo sina hata Timu moja ninayoishabikia zaidi tu ya Maji Mara na Police Mara.

Nawasilisha.
 
Mmmh huu utafiti wa wapi??

".....
Mimi hapo sina hata Timu mojaninayoishabikia zaidi tu yaMaji Mara na Police Mara"

Juzi hapa ulikuwa unazipamba Simba na Yanga leo uko polisi mara tena?? We jamaa noma
 
Back
Top Bottom