Inawezekana Sana mkarudiana na mahusiano yakawa mazuri Sana.....Ila itategemeana na sababu zilizo wafanya muachane,kama mliachana Kwa ubaya na dharau na vibweka kibao itakuwa ngumu Sana.
Lkn kama mliachana Kwa mambo ambayo ya kujirekebisha Tu Tabia ,hiyo inawezekana,mfano labda mmoja wenu alikuwa mtu wa wivu Sana lkn baadae akaja kugundua kuwa wivu wake Una mcost na akaamua kujirekebisha basi mkianza upya itakuwa vizur,au labda mahusiano yenu yalikuwa mabovu kutokana na long distance,pale mtakapo kuwa karibu mapenz yatendelea vizur,kifupi itategemea je mliachana vipi,kumbuka kila mtu anastahili nafasi ya pili.