asante mkuu umesimekaMachozi ya mwanadamu yeyote bila kujali jinsia ukimtendea ubaya akanung'unika moyoni mwake kwa haki, basi hiyo ni laana tosha. Laana Ni malipo ya kukiuka haki na stahiki za watu.
Mfano mkeo amezini ukamtandika vibao, laana itatoka wapi? Lakini ukamtendea ukatili jirani yako kwa kumdhulumu akalia, je hutapata laana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Machozi ya mwanadamu yeyote bila kujali jinsia ukimtendea ubaya akanung'unika moyoni mwake kwa haki, basi hiyo ni laana tosha. Laana Ni malipo ya kukiuka haki na stahiki za watu.
Mfano mkeo amezini ukamtandika vibao, laana itatoka wapi? Lakini ukamtendea ukatili jirani yako kwa kumdhulumu akalia, je hutapata laana?
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
nimekuelewa Mkuu