Je kuna ukweli wowote kuhusu hili swala?

mqaxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2018
Posts
342
Reaction score
559
Habari za sasa wanaJF
Nasikia machozi ya mwanamke ogopa sana eti yana. Laana kwa Yule aliyemsababishia kulia.

Hivi kuna ukweli wowote kuhusu hilo jambo,pia hivi mama MTU anapo mlaani mwanaye(kwa kumpa razi/radhi sijui).Je kuna uwezekano wa kumuondolea pia?(Ku reverse situation).

Nawasilisha...
 
Machozi ya mwanadamu yeyote bila kujali jinsia ukimtendea ubaya akanung'unika moyoni mwake kwa haki, basi hiyo ni laana tosha. Laana Ni malipo ya kukiuka haki na stahiki za watu.

Mfano mkeo amezini ukamtandika vibao, laana itatoka wapi? Lakini ukamtendea ukatili jirani yako kwa kumdhulumu akalia, je hutapata laana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Macho pekee ambayo naweza ruhusu kutoka kwa mwanamke ni yale yatokayo wakati wa sex.
Ogopa sana chozi la mama yako kwa ajili yako
 
Machozi ya mwanadamu yeyote bila kujali jinsia ukimtendea ubaya akanung'unika moyoni mwake kwa haki, basi hiyo ni laana tosha. Laana Ni malipo ya kukiuka haki na stahiki za watu.

Mfano mkeo amezini ukamtandika vibao, laana itatoka wapi? Lakini ukamtendea ukatili jirani yako kwa kumdhulumu akalia, je hutapata laana?

Sent using Jamii Forums mobile app
asante mkuu umesimeka

[/QUOTE
nimekuelewa Mkuu
 
NI MYTH TU MAANA IDADI YA WALE WANAKIJIJI WOTE WAKE KWA WAUME NA WAZEE NILIOWAADHIBU KWENYE ILE VITA KWA KUFICHA WAASI PAMOJA NA MANUNG'UNIKO NA VILIO VYAO NINGEKUWA NIMEPATA BALAA
 
Anha sasa mbona mikanganyiko ni mingi
 
Back
Top Bottom