Niliwahi kukutana na dada mmoja wa Kihindi, yeye huwa anafanya 'meditation', alikuwa karibu afanikiwe kuniaminisha kuhusu habari hii, yeye anaamini kuwa viumbe hai wengine wote (isipokuwa mimea) roho zao zilikuwa kwa binadamu siku za nyuma. Ila wahakuishi vyema hapa duniani (hasa suala kupenda binadamu wengine) ndio maana walipokufa wakawa mbwa, nyoka, visi, ngiri na wengineo. Yeye alikuwa hali nyama maana anahisi ni kuwapa adhabu zaidi viumbe hao.
Pia alisisitiza kuwa, hao wanyama wana nafasi tena ya kurudi kuwa binadamu iwapo wataishi vyema katika jamii yao (kuwapenda wenzao). Take care usije ukarudi duniani ukiwa panya.....
NB/ I dont believe this shit