Je Kuna Ukweli Wowote Kuhusu Totemism?

Je Kuna Ukweli Wowote Kuhusu Totemism?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Totemism
is a system of belief in which each human is thought to have a spiritual connection or a kinship with another physical being, such as an animal or plant ..​

inasemekana kwa faklsafa hii mtu akifa anakuja tena duniani kwa sura nyingine ndio asili ya kupewa jina la Babu, Bibi etc?
 
Naimani ktk dunia hii mapya yanayoletwa kila siku sidhan kama tumefikia robo ya yaliyopo duniana maana kila siku linakuja hili mara lile!!.......lol
 
Naimani ktk dunia hii mapya yanayoletwa kila siku sidhan kama tumefikia robo ya yaliyopo duniana maana kila siku linakuja hili mara lile!!.......lol

Mungu amemuumba mwanadamu mnyofu lakn wamebuni mavumbuzi mengi-Yeremia
 
Kama ndio hivyo, usiombe urudi ukawa kama kitimoto.........
 
If a man dies, will he live again?" (Job 14:14) is a question that has haunted the mind of every man and woman who has ever lived. From the dawn of creation it has been an enigma to the mind of man. Solomon wrote Ecclesiastes something like his journal. He was perplexed; he had more questions than answers. "All go to the same place, all come from dust and to dust all return. Who knows if the spirit of man rises upward?" (Ecclesiastes 3:20) Though Job offered no answer to his question and though Solomon went through a period where he had more questions than answers, the Scripture gives an emphatically clear answer to the question if a man dies, will he live again? YES! YES! A hundred times YES!
 
"For God so loved the world that he gave his only begotten Son that whosoever believeth on him would not perish, but have" (What?) "Everlasting life." (John 3:16) Jesus told Martha, the sister of Lazarus who had just died, "I am the resurrection and the life. He who believes in me will live, even though he dies; and whoever lives and believes in me will never die." (John 11:25) He said to his disciples, I am about to leave you but "In my Father's house are many rooms; if it were not so, I would have told you. I am going there to prepare a place for you. And if I go and prepare a place for you, I will come back and take you to be with me that you also may be where I am." (John 14:2-3)
 
Niliwahi kukutana na dada mmoja wa Kihindi, yeye huwa anafanya 'meditation', alikuwa karibu afanikiwe kuniaminisha kuhusu habari hii, yeye anaamini kuwa viumbe hai wengine wote (isipokuwa mimea) roho zao zilikuwa kwa binadamu siku za nyuma. Ila wahakuishi vyema hapa duniani (hasa suala kupenda binadamu wengine) ndio maana walipokufa wakawa mbwa, nyoka, visi, ngiri na wengineo. Yeye alikuwa hali nyama maana anahisi ni kuwapa adhabu zaidi viumbe hao.

Pia alisisitiza kuwa, hao wanyama wana nafasi tena ya kurudi kuwa binadamu iwapo wataishi vyema katika jamii yao (kuwapenda wenzao). Take care usije ukarudi duniani ukiwa panya.....

NB/ I dont believe this shit
 
Hindu ndo wanaamini hivyo .....wanasema binadamu akifa anarudi tena kama mbwa .....ndo maana mbwa wengi sana india especially bangalore
 
Totemism
is a system of belief in which each human is thought to have a spiritual connection or a kinship with another physical being, such as an animal or plant ..​

inasemekana kwa faklsafa hii mtu akifa anakuja tena duniani kwa sura nyingine ndio asili ya kupewa jina la Babu, Bibi etc?

Huo ni uongo ni imani ya baadhi ya watu wasioamini siku ya mwisho (kiama) akina Hindusm, judism na Buddism!
 
Istoshe imani hiyo inatoka kati ya school 1 ya karma (among 3 schools) wanasema ukiwa mtu mbaya ndio unazaliwa tena kwenye zenye majanga na vita kama palestina na Israel, Afrika or sehemu yoyote yenye umasikini na shida zilizokithiri!

But usiamini (Amavubi) huo ni uongo usio na kichwa wala miguu!
 
Back
Top Bottom