Kama kunamtu unaemfaham aliemaliza form6 kuanzia 2003 mpaka sasa masomo ya SAYANSI na kupata (S S S) yani (IV-18, au (SS) IV-19 wanaombwa kufika moja kwa moja chuo cha ualimu morogoro kwa mafunzo maalum ya kujiunga na diploma ya ualimu. Wajulishe wengine kwa maelezo zaidi wasiliana na mkuu wa chuo 0658180854.