Je kuna ukweli??

Je kuna ukweli??

sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
Wadau,mm na mama watoto tumekuwa tukigombana mara kwa mara ,eti kisa ni tabia yangu ya kupakata computer( laptop)mama anadai ipo siku atakosa chakula yake!je kuna sababu zozote za kisayansi zenye kuthibitisha kuwa laptop inapunguza nguvu za kiume??
 
Kuna maelezo ya kitaalam mkuu??
Kama unapenda kuweka kwenye sehemu hebu ni pm nikutafutie kitu cha kuweka juu ya laptop yako kujikinga na wife anachosema,kaka ni kwamba laptop ina mionzi ya aina fulani ambayo itaku affect baadae,shukuru mama kakueleza ukweli,wewe unataka kuwa mjeuri,huyo mke wako anakupenda sana na anajali mali zake big up kaka!
 
Nashikuru mkuu
 
Nashikuru mkuu
Vizuri kwa kuelewa ningekuwa na Camera karibu ningepiga nikuonyeshe kitu ambacho unaweka kitu kati ya laptop yako na mapaja yako,mimi ninayo,
 
Wadau,mm na mama watoto tumekuwa tukigombana mara kwa mara ,eti kisa ni tabia yangu ya kupakata computer( laptop)mama anadai ipo siku atakosa chakula yake!je kuna sababu zozote za kisayansi zenye kuthibitisha kuwa laptop inapunguza nguvu za kiume??
Ni kweli Kuweka Laptop kwenye mapaja kuuwa nguvu zako za kiume na pia unawezakupata Kansa ya ngozi.

attachment.php

toasted-skin-syndrome-laptop.jpg

article-1317532-0B775A6C000005DC-105_468x533.jpg
 
Attachments

  • JIHADHARI KUWEKA LAPTOP MAPAJANI.jpg
    JIHADHARI KUWEKA LAPTOP MAPAJANI.jpg
    66.1 KB · Views: 172
Back
Top Bottom