Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
- Thread starter
-
- #21
X wanalipa watu vizuri maana kuna jamaa mmoja X ana followers 20k anasema kila baada ya week mbili analipwa 500$ + means wanapokea malipo mazuriHapo sawa na malipo wanapanga wenyewe maana naona Google wameshikwa Masikio unafanya kazi kubwa unalipwa kiduchu
Sidhani kama ulilosema ni kweli.Sio kweli sababu upo Africa, Tanzania hio ndio sababu
Watu wanaambiwa walipwe kimataifa M12 per month Serikali inaingilia kati inasema wakilipwa hivyo watakua viburi walipwe 500k just imagine from 12 million to 500k
Acha kupotoshaSio kweli sababu upo Africa, Tanzania hio ndio sababu
Watu wanaambiwa walipwe kimataifa M12 per month Serikali inaingilia kati inasema wakilipwa hivyo watakua viburi walipwe 500k just imagine from 12 million to 500k
Huku nadhani wameona watu hawana purchasing power watu wanacheki matngazo kununua aaahIla wangetakiwa watulipe vizuri mbona kwenye nchi zao wanalipa content creator wao vizuri mfano ukiweka matangazo ya adsense kwenye blog yenye maudhui ya kitanzania watembeleaji wakawa wa bongo basi malipo huwa ni kidogo sana ila kwa upande wa wenzetu wanalipwa vizuri hii inaonesha wazi kuwa Hawalipi content creators wetu vizuri.
Yeah bossHuku nadhani wameona watu hawana purchasing power watu wanacheki matngazo kununua aaah
Socialpop ingia play store utaikuta Ila imekaa km Kylanda kua makiniYeah boss
Tumesikia kilio chenu, tutalifanyia kaziKwa sasa, watengeneza maudhui wa Tanzania wamekuwa wakikabiliana na changamoto kadhaa zinazotokana na kutumia majukwaa ya kimataifa kama YouTube.
Mojawapo ya changamoto hizi ni sheria kali ambazo mara nyingi hazizingatii hali halisi ya soko la Tanzania na zinaweza kuwa kandamizi kwa wamiliki wa majukwaa. Vilevile, watengeneza maudhui wanapata malipo madogo sana ambayo hayalingani na jitihada na rasilimali wanazowekeza.
Aidha, kutegemea jukwaa moja bila kuwa na mbadala kunawaweka watengeneza maudhui katika hali ya hatari endapo jukwaa hilo litakutana na matatizo ya kiufundi au litapigwa marufuku. Kutokana na sababu hizi, kuna umuhimu mkubwa wa kuanzisha jukwaa la kiufundi ambalo litazingatia maslahi na mahitaji maalum ya watengeneza maudhui wa Tanzania.
Je unakubaliana na hili Tanzania tuwe na jukwaa letu wenyewe?
Sio kweli sababu upo Africa, Tanzania hio ndio sababu
Serikali ya Wapi? Na kwa sheria gani hiyo?Watu wanaambiwa walipwe kimataifa M12 per month Serikali inaingilia kati inasema wakilipwa hivyo watakua viburi walipwe 500k just imagine from 12 million to 500k
Kweli na itapendeza.Tunahitaji platform yetu ya kibongo ambayo tutashare na wenzetu jirani kama Kenya na nchi nyingine za Africa l
Ni sheri gani hiyo kandamizi Mkulu.content creators walipwe vizuri,tusiwe wategemezi na vya watu,njia nyepesi ya utoaji wa pesa na pia sheria zisizo mkandamiza content creator