Je kuna umuhimu wakuwa na role model maishani?

Je kuna umuhimu wakuwa na role model maishani?

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,635
Reaction score
5,012
Salute,

Hivi watu wanayofautiana kuwa na ndoto mbalimbali, malengo na mipango sasa katika mambo hayo kuna kitu kinaitwa role model yaani mtu ambaye umemchagua kama mfano kwenye maisha yako kuindea ndoto yako unayoilenga.

Swali lipo hivi, Je kuna umuhimu wa kuwa na role model maishani au hakuna?

Unayekubali role model wako nani na kwanini huyo?
 
Back
Top Bottom