je kwenye course ya MD kitu gani kingine ambacho kitakuwa kinahitajika kwenye kulahisisa masomo ukiachana na laptop, je calculator, external na kadharika nataka kujua msaada tafadhaliNdio ina umuhimu sana.. course yeyote now days inahitaji laptop.. maana inapunguza gharama za kuprint slides ama notes zilizo katika soft copy..
Pia chuo wanafundisha juu juu sana.. laptop itakusaidia kusoma deep mtandaoni topic ulizofundishwa na kutazama lectures youtube
Dooh!je kwenye course ya MD kitu gani kingine ambacho kitakuwa kinahitajika kwenye kulahisisa masomo ukiachana na laptop, je calculator, external na kadharika nataka kujua msaada tafadhali
Daktari Punguza Jazba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]acha kuguna kama haujui pita kushoto boy, shule yenyewe haujasoa unakauja kugunaguna hapa
AhahahahahahDooh!
Mkuu relax kidogo ....acha kuguna kama haujui pita kushoto boy, shule yenyewe haujasoa unakauja kugunaguna hapa
asante mkuu, hapana nataka kumnunulia mdogo wangu ndio maana nataka kujuaComputer ni essential tool kuanzia pre primary, no question!! Sema uchumi kama hauko vzr, smart phone serves the purpose (japo haiondoi ukweli kwamba computer ni essential).
Ukija kwa laptop, due to its portability, ni essential zaidi kwa mwanachuo yeyote.
Sema Daktari mtarajiwa usirudie kutuuliza maswali ya kitoto.
Laptop ndio Daftari.Habarini ndugu,
Kwa anayejua mtu anayeanza chuo mwaka wa kwanza kwa ngazi ya degree ya medical doctor kuna umuhimu wowote wa kuwa na laptop? Kama jibu ni ndio je kitu gani kingine anachotakiwa kuwa nacho kama sehemu ya kumsaidia kwenye masomo yake?
Msaada kwa hili.
Vitu vingine muhimu ni kama Stethoscope na Clinical coat.asante mkuu, but nataka kujua vitu gani vingine vitaitajika kwenye mambo ya MD kwa mwanafunzi ukiachana na laptop?
Clinical coat zinauzwa maeneo ya vyuoni ( sijui anaenda chuo gani ) au anaweza kushona mwenyewe kwa fundi.asante sana mkuu, ubarikiwe sana, Stethoscope na Clinical coat. nazipata wapi na kwa sh ngapi mkuu?? msaada wako tafadhali.