copernicucci98
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 1,232
- 2,362
Good! Utakuwa umefanya jambo zuri.asante mkuu, hapana nataka kumnunulia mdogo wangu ndio maana nataka kujua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good! Utakuwa umefanya jambo zuri.asante mkuu, hapana nataka kumnunulia mdogo wangu ndio maana nataka kujua
Enzi zetu kulikuwa na some little amounts kwaajili ya fuculty requirements!! Ambazo ni stetho na tie😣😣😣..Vitu vingine muhimu ni kama Stethoscope na Clinical coat.
Ukiwa na hivyo inatosha kuanza comfortably.
Yah ni kweli mkuu sema ndo Ivo c unajua JF tena ....kuna raia wana kera
Sio kweli mkuu.Usipokuwa na laptop gharama zitaongezeka zaidi..kila siku wewe utakuwa wa kutoa copy tu.
wewe ndyo yule jamaa mwenye roho mbayaa??tuliza mshono mjaa laaaaaaaaaaana wewe
Tatizo hii course ni ya muda mrefu kidogo na karibu kila semester au mwaka wa masomo unajitegemea si rahisi mtu kukwambia njoo na hiki au kile kwa sasa ,mahitaji yanabadilika kila mwaka wa masomo!hutaweza kuvinunua vyote kwa sasa.asante mkuu, but nataka kujua vitu gani vingine vitaitajika kwenye mambo ya MD kwa mwanafunzi ukiachana na laptop?
Kama hajakuelewa Basi!Ndio ina umuhimu sana. Course yeyote now days inahitaji laptop, maana inapunguza gharama za kuprint slides ama notes zilizo katika soft copy.
Pia chuo wanafundisha juu juu sana.. laptop itakusaidia kusoma deep mtandaoni topic ulizofundishwa na kutazama lectures Youtube.
Calculator no moja us apps kwenye laptop.je kwenye course ya MD kitu gani kingine ambacho kitakuwa kinahitajika kwenye kulahisisa masomo ukiachana na laptop, je calculator, external na kadharika nataka kujua msaada tafadhali