Je, kuna umuhimu wowote wa kuwa na Laptop kwa kozi ya Medical Doctor (MD) mwaka wa kwanza?

Je, kuna umuhimu wowote wa kuwa na Laptop kwa kozi ya Medical Doctor (MD) mwaka wa kwanza?

Nitafute upate package ya medical student kwa bei poa na vifaa bora ,kuhusu laptop ni muhimu ila hata ukiwa na simu yenye uwezo mzuri fresh tu mi nimesomea simu mwanzo mwisho.
 
Vitu vingine muhimu ni kama Stethoscope na Clinical coat.

Ukiwa na hivyo inatosha kuanza comfortably.
Enzi zetu kulikuwa na some little amounts kwaajili ya fuculty requirements!! Ambazo ni stetho na tie😣😣😣..
Ila ni vema akajiandaa navyo.
 
kuna raia wana kera
Yah ni kweli mkuu sema ndo Ivo c unajua JF tena ....

Ila laptop ni muhimu mkuu .....kutoa copy kila siku ni cost Sana ....halafu pia inarahisisha kusoma sababu mfano chukulia unaambiwa pepa lipo next week...... c utajaza mezani makaratasi ya notc ko inakua taabu kdg...
kuandika pia assignments zake binafsi inamsaidia pia...kuliko kuazima azima maana kuna Wadau Wana tumanyanyaso mkuu Acha...😁
pia kuna vitabu unakuta ni vikubwa sasa kuvibeba inakua jau mkuu ....utaonekana msongo bure ....lakini vina soft copy unaweka Tu Kwa PC mambo fresh ....
Ila mkuu hata refreshment itamsaidia anachek movie kidogo, or music Kama anapenda games kidogo ....

Hata ukishindwa hiyo mtafutie hata zile simu kubwa sijui tablet (wajuzi watanisaidia) itamsaidia.
 
Usipokuwa na laptop gharama zitaongezeka zaidi..kila siku wewe utakuwa wa kutoa copy tu.
 
Usipokuwa na laptop gharama zitaongezeka zaidi..kila siku wewe utakuwa wa kutoa copy tu.
Sio kweli mkuu.

Watu wamesomea simu mwanzo mwisho na wala maktaba hawajawahi kwenda.

Mtu anaingia google anachota idea,anaenda yutube anachota lecture,anarejea module za mwalimu na lesson plan anapiga pepa fresh
 
Mdogo wangu hujapewa joining instruction?? Acha kuwa ndezi basi
 
asante mkuu, but nataka kujua vitu gani vingine vitaitajika kwenye mambo ya MD kwa mwanafunzi ukiachana na laptop?
Tatizo hii course ni ya muda mrefu kidogo na karibu kila semester au mwaka wa masomo unajitegemea si rahisi mtu kukwambia njoo na hiki au kile kwa sasa ,mahitaji yanabadilika kila mwaka wa masomo!hutaweza kuvinunua vyote kwa sasa.
 
Ndio ina umuhimu sana. Course yeyote now days inahitaji laptop, maana inapunguza gharama za kuprint slides ama notes zilizo katika soft copy.

Pia chuo wanafundisha juu juu sana.. laptop itakusaidia kusoma deep mtandaoni topic ulizofundishwa na kutazama lectures Youtube.
Kama hajakuelewa Basi!
 
je kwenye course ya MD kitu gani kingine ambacho kitakuwa kinahitajika kwenye kulahisisa masomo ukiachana na laptop, je calculator, external na kadharika nataka kujua msaada tafadhali
Calculator no moja us apps kwenye laptop.
 
Back
Top Bottom