Je, kuna upendeleo katika kupanga Ratiba ya Kombe la FA kwa timu za Yanga na Simba?

Je, kuna upendeleo katika kupanga Ratiba ya Kombe la FA kwa timu za Yanga na Simba?

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Habari ya Wakati.

Hivi Kigezo gani kimetumika timu kubwa zote kucheza Mechi zao za Kombe la FA nyumbani?

Na kama kigezo ni ukubwa wa timu je Coastal Union ni kubwa kuliko Kagera Sugar, Polisi na Geita?

Screenshot_20220329-114245.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani Kalalamika, kama ni Mr Kilo Mia nane au ni Msukule wao basi Naomba Wapuuzwe maana malalamiko kwao ni Jadi
 
Wakuu Habari ya Wakati.

Hivi Kigezo gani kimetumika timu kubwa zote kucheza Mechi zao za Kombe la FA nyumbani?

Na kama kigezo ni ukubwa wa timu je Coastal Union ni kubwa kuliko Kagera Sugar, Polisi na Geita?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uliyafuatilia hayo mashindano kuanzia hatua za mwanzo kabisa! na pia kufuatilia mchakato wa upangaji wa hizo timu kwenye hatua ya 32 bora, 16 bora, robo fainali,nk?

Maana wabongo tunapenda sana kulalamika! Wakati hizo timu zilipokuwa zikipangwa kuanzia ugenini mbona ulikuwa hulalamiki? Halafu hapo kuna pia Azam na Coastal Union! Mbona na zenyewe huzilalamikii? Kwa nini Yanga na simba tu?
 
Back
Top Bottom