Uliyafuatilia hayo mashindano kuanzia hatua za mwanzo kabisa! na pia kufuatilia mchakato wa upangaji wa hizo timu kwenye hatua ya 32 bora, 16 bora, robo fainali,nk?
Maana wabongo tunapenda sana kulalamika! Wakati hizo timu zilipokuwa zikipangwa kuanzia ugenini mbona ulikuwa hulalamiki? Halafu hapo kuna pia Azam na Coastal Union! Mbona na zenyewe huzilalamikii? Kwa nini Yanga na simba tu?