Mkuu mimi sio mtaalam sana wa lugha. Ila kuanzia kwenye kiinglish hadi tafsiri ya kiswahili hapo chini zote zinamaanisha Jiblill ni adui wa wayahudi.
Ila pia unaweza kuwa upo sawa maana maandishi ya mtume Mohamadi wanasoma kuanzia kulia kwenda kushoto.