Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Anaiogopa CHADEMA.Apimwe mkojo.Mwandishi ni mshamba sana !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaiogopa CHADEMA.Apimwe mkojo.Mwandishi ni mshamba sana !
Team Jiwe karibu jukwaani
Leo umegoma kuelewa?😂😂😂😂Sijakuelewa...
Leo umegoma kuelewa?😂😂😂😂
Umeshaanza kunitesa?Hivi kwa nini unapenda kila nikisoma komenti zako niwe natumia kamusi?Nateseka sana.😂😂😂😂🤣🤣🤣
Nimekuwa mkweli.. kama kawaida yangu.. Swahili yangu imekawaje na keep?
Umeshaanza kunitesa?Hivi kwa nini unapenda kila nikisoma komenti zako niwe natumia kamusi?Nateseka sana.😂😂😂😂
Hakyanane!😂😂😂😂Wewe rwafiki wangwu munafwiki tu humu.. kama piwa wenzako Erythrocyte Mmawia etc. hivyo tucheke tu swaswa.. tukisubiri.. burudani mbeleni.. Mola atupe uzima.. ondowagwa herufi komoni kupata neno ni rahiswi swanwa. 😂😂😂🤗🤗🤗
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika hapo chini.
Ndugu wanajf wenzangu mimi pamoja na wapenda amani wengine tumekuwa tukishangazwa na siasa za vyama vya upinzani ambavyo vingi kama siyo vyote vimejaa udini na ukabila uliopitiliza.
Nikianza na CHADEMA ambacho kinajinasibu kuwa ni chama kikuu cha upinzani Tanzania, naona kimejaa udini uliyopitiza kwenye safu yake ya uongozi.
Sasa unajiuliza hali hiyo imetokana na elimu ndogo waliyonayo kina Sheikh Ponda ndiyo maana hawakupewa nafasi muhimu za kuongoza chama hicho kama wenzao au ni kutokana na utaratibu wa chama chao kwamba ni lazima kiongozwe na watu wa dini yetu bila kujali elimu zao na sifa zao za uongozi?
1) Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe (Mkristo).
2) Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu (Mkristo).
3) Katibu Mkuu Taifa John Mnyika (Mkristo).
4) Makamu Katibu Mkuu bara Jonson Kigaila (Mkristo).
Kwa upande wa Zanzibar Salum Mwalim kawekwa tu kama chambo ili kuvuna kura za Wazanzibar katika chaguzi mbali mbali.
Hapo sijagusia kina Mchungaji Msigwa, aliyekuwa Katibu Mkuu Padri Slaa nk, list ni ndefu. Kesho tutaangazia ACT Wazalendo, NCCR Mageuzi nk.
Ni kwanini siasa za Tanzania zimejaa udini na ukabila katika vyama vyetu?
Pole zimuendee Sheikh Ponda na maulamaa wengine waliokimbilia CHADEMA kusaka tonge huku wakiacha ndugu zao wakibaguliwa waziwazi katika uongozi wa chama hicho.
Popo tu wewe,ETI TUMEKUA, wewe na nani MMEKUA, sema labda wewe na MUMEOHabari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika hapo chini.
Ndugu wanajf wenzangu mimi pamoja na wapenda amani wengine tumekuwa tukishangazwa na siasa za vyama vya upinzani ambavyo vingi kama siyo vyote vimejaa udini na ukabila uliopitiliza.
Nikianza na CHADEMA ambacho kinajinasibu kuwa ni chama kikuu cha upinzani Tanzania, naona kimejaa udini uliyopitiza kwenye safu yake ya uongozi.
Sasa unajiuliza hali hiyo imetokana na elimu ndogo waliyonayo kina Sheikh Ponda ndiyo maana hawakupewa nafasi muhimu za kuongoza chama hicho kama wenzao au ni kutokana na utaratibu wa chama chao kwamba ni lazima kiongozwe na watu wa dini yetu bila kujali elimu zao na sifa zao za uongozi?
1) Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe (Mkristo).
2) Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu (Mkristo).
3) Katibu Mkuu Taifa John Mnyika (Mkristo).
4) Makamu Katibu Mkuu bara Jonson Kigaila (Mkristo).
Kwa upande wa Zanzibar Salum Mwalim kawekwa tu kama chambo ili kuvuna kura za Wazanzibar katika chaguzi mbali mbali.
Hapo sijagusia kina Mchungaji Msigwa, aliyekuwa Katibu Mkuu Padri Slaa nk, list ni ndefu. Kesho tutaangazia ACT Wazalendo, NCCR Mageuzi nk.
Ni kwanini siasa za Tanzania zimejaa udini na ukabila katika vyama vyetu?
Pole zimuendee Sheikh Ponda na maulamaa wengine waliokimbilia CHADEMA kusaka tonge huku wakiacha ndugu zao wakibaguliwa waziwazi katika uongozi wa chama hicho.
Toka Cuf ife una makasiriko endelea kuandika ujinga tuone kama utalipwaHabari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika hapo chini.
Ndugu wanajf wenzangu mimi pamoja na wapenda amani wengine tumekuwa tukishangazwa na siasa za vyama vya upinzani ambavyo vingi kama siyo vyote vimejaa udini na ukabila uliopitiliza.
Nikianza na CHADEMA ambacho kinajinasibu kuwa ni chama kikuu cha upinzani Tanzania, naona kimejaa udini uliyopitiza kwenye safu yake ya uongozi.
Sasa unajiuliza hali hiyo imetokana na elimu ndogo waliyonayo kina Sheikh Ponda ndiyo maana hawakupewa nafasi muhimu za kuongoza chama hicho kama wenzao au ni kutokana na utaratibu wa chama chao kwamba ni lazima kiongozwe na watu wa dini yetu bila kujali elimu zao na sifa zao za uongozi?
1) Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe (Mkristo).
2) Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu (Mkristo).
3) Katibu Mkuu Taifa John Mnyika (Mkristo).
4) Makamu Katibu Mkuu bara Jonson Kigaila (Mkristo).
Kwa upande wa Zanzibar Salum Mwalim kawekwa tu kama chambo ili kuvuna kura za Wazanzibar katika chaguzi mbali mbali.
Hapo sijagusia kina Mchungaji Msigwa, aliyekuwa Katibu Mkuu Padri Slaa nk, list ni ndefu. Kesho tutaangazia ACT Wazalendo, NCCR Mageuzi nk.
Ni kwanini siasa za Tanzania zimejaa udini na ukabila katika vyama vyetu?
Pole zimuendee Sheikh Ponda na maulamaa wengine waliokimbilia CHADEMA kusaka tonge huku wakiacha ndugu zao wakibaguliwa waziwazi katika uongozi wa chama hicho.
Sawa Wakristo chama chao Chadema je Waislamu chama gani naomba jawabu.Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika hapo chini.
Ndugu wanajf wenzangu mimi pamoja na wapenda amani wengine tumekuwa tukishangazwa na siasa za vyama vya upinzani ambavyo vingi kama siyo vyote vimejaa udini na ukabila uliopitiliza.
Nikianza na CHADEMA ambacho kinajinasibu kuwa ni chama kikuu cha upinzani Tanzania, naona kimejaa udini uliyopitiza kwenye safu yake ya uongozi.
Sasa unajiuliza hali hiyo imetokana na elimu ndogo waliyonayo kina Sheikh Ponda ndiyo maana hawakupewa nafasi muhimu za kuongoza chama hicho kama wenzao au ni kutokana na utaratibu wa chama chao kwamba ni lazima kiongozwe na watu wa dini yetu bila kujali elimu zao na sifa zao za uongozi?
1) Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe (Mkristo).
2) Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu (Mkristo).
3) Katibu Mkuu Taifa John Mnyika (Mkristo).
4) Makamu Katibu Mkuu bara Jonson Kigaila (Mkristo).
Kwa upande wa Zanzibar Salum Mwalim kawekwa tu kama chambo ili kuvuna kura za Wazanzibar katika chaguzi mbali mbali.
Hapo sijagusia kina Mchungaji Msigwa, aliyekuwa Katibu Mkuu Padri Slaa nk, list ni ndefu. Kesho tutaangazia ACT Wazalendo, NCCR Mageuzi nk.
Ni kwanini siasa za Tanzania zimejaa udini na ukabila katika vyama vyetu?
Pole zimuendee Sheikh Ponda na maulamaa wengine waliokimbilia CHADEMA kusaka tonge huku wakiacha ndugu zao wakibaguliwa waziwazi katika uongozi wa chama hicho.
Kila mtu yuko huru kujadili kile anachokitaka, ilimradi tusivunje sheria. Sasa kama yeye kamjadili Samia, na mimi nimemjadili Mbowe na chadema yake tatizo liko wapi?Kuna mtu member mmoja alianzisha Uzi akataja safu nzima ya ccm kuwa Ni waisilamu tupu Anza na Samia
CUFSawa Wakristo chama chao Chadema je Waislamu chama gani naomba jawabu.
Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote na hasa vile vyenye viashiria vya udini ndo sivipigiagi kura kabisa ikiwemo hiyo CUF unayosema wewe.Toka Cuf ife una makasiriko endelea kuandika ujinga tuone kama utalipwa
Wewe hujitambui Chama cha siasa kitakuwaje cha dini?.Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote na hasa vile vyenye viashiria vya udini ndo sivipigiagi kura kabisa ikiwemo hiyo CUF unayosema wewe.
Mbona ccm kuna Waislamu hata Rais Mwislamu.
Kwahiyo vyama vya upinzani vipo kwa ajili ya kushindana na CCM?Mbona ccm kuna Waislamu hata Rais Mwislamu.
Kwani ili ujiunge Cuf lazima uwe Mwislamu kama ndivyo kwa nini wale Waislamu walioko Ccm na Chadema wasije kwenye chama chao cha dini?.Kwahiyo vyama vya upinzani vipo kwa ajili ya kushindana na CCM?
Kwamba CCM ikiwa na waislam wengi chamani na Chdema kinajaza wakristo chamani? Je hakuna waislam wenye vigezo vya kuchaguliwa Chadema au hakuna wakristo wenye vigezo vya kuchaguliwa ACT wazalendo, Cuf nk?
Kujiunga na chama siasa ni uamuzi mapenzi na maslahi huo udini wa Cuf ni upi mbona siuoni mimi.Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote na hasa vile vyenye viashiria vya udini ndo sivipigiagi kura kabisa ikiwemo hiyo CUF unayosema wewe.