Je kuna utofauti kati ya movie script na screenplay?

Je kuna utofauti kati ya movie script na screenplay?

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2017
Posts
8,252
Reaction score
18,335
Wakuu napenda kuuliza kama kuna utofauti wa kimaana kati ya script (katika filamu) na screenplay au ni vitu vinavyofanana?

Natanguliza shukrani zangu.
 
Script ni general term, ni muongozo unaoweza kutumika kwenye shughuli yoyote, kiwandani, kwenye matukio kama sherehe n.k ili hali term screenplay ni mahususi kwa filamu, "screen"wakimaanisha kinaandikwa kile tu kinachopaswa kuonekana kwenye screen.

Screen play unaweza kuiita script ila script wanayotumia redioni huwezi kuiita screenplay.
 
Back
Top Bottom