Kitanda hakizai haramu wahenga walishanena lea mimba hyo mwana akizaliwa DNA ihusike!Kanasa ya mwingne sio yang.
Chukua hatua, utakuja lea majambazi halafu unajiuliza hii mbegu ya kaini kwetu haipo imetoka wapi?Na mm ndio nnavyo jua mkuu nataka kubambikiziwa.
Hiyo mimba ni yake chief, umetoa maelezo ya mzunguko wa siku 28 ambao hao wanatumia siku tatu kubleed ndio ovulation inafanyika siku ya 14.Kwa hiyo tarehe 22/4/2019 atakuwa anakulengesha mwambie apeleke kwa mhusika.
Iko hivi, toka 2/4/2019 alipopata hedhi siku ya kwanza hadi 22/4/2019 ulipoweka rutuba ni siku 20 zimepita.
Mwanamke anaweza kupata ujauzito siku ya 7 ukihesabu toka siku alipoingia hedhi. Yai la mwanamke linaanza kushuka siku ya 10 ukihesabu toka siku alipopata hedhi na kufika siku ya 17 kama halijarutubishwa linaharibika, hii inaweza pengine kwenda hadi siku ya 19. Siku hatari zaidi ni siku ya 13 na 14 hapo yai linakuwa linasibiri mbegu. Kwanini awali nimesema siku ya 7 hatar inaanza? Ni kwamba mbegu za kiume zinaweza kubaki hai ndani ya uke kwa saa 72 ambayo ni sawa na siku 3. Kwa hiyo 7+3 = 10 ambayo hiyo siku ya 10 yai la mwanamke linashuka uwezekano wa kupata mimba mkigegedana siku ya 7 upo.
Kwa mtiririko huo mkuu muulize vizuri alikotoa hiyo mimba na ni kwanini anaikabidhi kwako wakati wewe sio mhusika hata kwa kipindi kile cha rehema yaani siku ya 17 hadi 19????.
Wanaume japo kitanda hakizai haramu, bora kulea mtoto unaetambua kuwa si wako kuliko kuaminishwa wako kumbe sio. Inakera na inaudhi. Halafu ukikuta mtoto kila mara mama yake anasema huyu kafanana na baba yake na ukiangalia hakuna uhalisia chukua hatua mapema, anajaribu kukupumbaza huyo.
Take care
Ndugu yang sina uhakika aisee ila anataka anipge hela yang coz ntalea mimba si yang.Hiyo mimba ni yake chief, umetoa maelezo ya mzunguko wa siku 28 ambao hao wanatumia siku tatu kubleed ndio ovulation inafanyika siku ya 14.
Lakini kwa huyo ni anatumia siku 7 kubleed kwahiyo yeye mzunguko wake ni siku 35 ambapo ovulation inafanyika siku ya 21. Tuje katika mfano hai, kwanza huyo msichana kableed kuanzia tarehe 2/4/2019 mpaka 8/4/2019 hapa inaonesha katumia siku 7 kwahiyo mzunguko wake ni siku 35. Pili kasex naye tarehe 22/4/2019 ambapo ni siku ya 20 tangu alipoanza hedhi hivyo basi kutokana na huyo msichana ana mzunguko wa siku 35 na ovulation inafanyika siku ya 21 bila ubishi hiyo mimba ni yake maana kasex naye siku ya 20 ambayo ni siku ya hatari
100% mimba ni yake
Mzee mimba ni yako huyo demu ana mzunguko wa siku 35 ndio maana anableed kwa siku 7[emoji23][emoji23][emoji23] sikubari hat kidogo