Je, kuna uwezekano akapata ujauzito?

Je, kuna uwezekano akapata ujauzito?

Na mm ndio nnavyo jua mkuu nataka kubambikiziwa.
Chukua hatua, utakuja lea majambazi halafu unajiuliza hii mbegu ya kaini kwetu haipo imetoka wapi?

Take care
 
Swala la mimba ni la ajabu sana, inaweza kuwa yoko na pia isiwe yako maadamu siku zinabalika badilika jua kwanza anatatizo akamuone daktari.
 
Kwa hiyo tarehe 22/4/2019 atakuwa anakulengesha mwambie apeleke kwa mhusika.

Iko hivi, toka 2/4/2019 alipopata hedhi siku ya kwanza hadi 22/4/2019 ulipoweka rutuba ni siku 20 zimepita.

Mwanamke anaweza kupata ujauzito siku ya 7 ukihesabu toka siku alipoingia hedhi. Yai la mwanamke linaanza kushuka siku ya 10 ukihesabu toka siku alipopata hedhi na kufika siku ya 17 kama halijarutubishwa linaharibika, hii inaweza pengine kwenda hadi siku ya 19. Siku hatari zaidi ni siku ya 13 na 14 hapo yai linakuwa linasibiri mbegu. Kwanini awali nimesema siku ya 7 hatar inaanza? Ni kwamba mbegu za kiume zinaweza kubaki hai ndani ya uke kwa saa 72 ambayo ni sawa na siku 3. Kwa hiyo 7+3 = 10 ambayo hiyo siku ya 10 yai la mwanamke linashuka uwezekano wa kupata mimba mkigegedana siku ya 7 upo.

Kwa mtiririko huo mkuu muulize vizuri alikotoa hiyo mimba na ni kwanini anaikabidhi kwako wakati wewe sio mhusika hata kwa kipindi kile cha rehema yaani siku ya 17 hadi 19????.

Wanaume japo kitanda hakizai haramu, bora kulea mtoto unaetambua kuwa si wako kuliko kuaminishwa wako kumbe sio. Inakera na inaudhi. Halafu ukikuta mtoto kila mara mama yake anasema huyu kafanana na baba yake na ukiangalia hakuna uhalisia chukua hatua mapema, anajaribu kukupumbaza huyo.

Take care
Hiyo mimba ni yake chief, umetoa maelezo ya mzunguko wa siku 28 ambao hao wanatumia siku tatu kubleed ndio ovulation inafanyika siku ya 14.

Lakini kwa huyo ni anatumia siku 7 kubleed kwahiyo yeye mzunguko wake ni siku 35 ambapo ovulation inafanyika siku ya 21. Tuje katika mfano hai, kwanza huyo msichana kableed kuanzia tarehe 2/4/2019 mpaka 8/4/2019 hapa inaonesha katumia siku 7 kwahiyo mzunguko wake ni siku 35. Pili kasex naye tarehe 22/4/2019 ambapo ni siku ya 20 tangu alipoanza hedhi hivyo basi kutokana na huyo msichana ana mzunguko wa siku 35 na ovulation inafanyika siku ya 21 bila ubishi hiyo mimba ni yake maana kasex naye siku ya 20 ambayo ni siku ya hatari

100% mimba ni yake
 
Kama alianza kubleed tarehe 2/4, siku ya mwisho ambayo angeweza pata mimba ni tareh 19 au 20 mwezi wa 4

Apo msaidie tu kuchagua jina la mtoto ila we si baba halalali
 
Kama alianza kubleed tarehe 2/4, siku ya mwisho ambayo angeweza pata mimba ni tareh 19 au 20 mwezi wa 4

Apo msaidie tu kuchagua jina la mtoto ila we si baba halalali
[emoji23][emoji23][emoji23] sikubari hat kidogo
 
Hiyo mimba ni yake chief, umetoa maelezo ya mzunguko wa siku 28 ambao hao wanatumia siku tatu kubleed ndio ovulation inafanyika siku ya 14.

Lakini kwa huyo ni anatumia siku 7 kubleed kwahiyo yeye mzunguko wake ni siku 35 ambapo ovulation inafanyika siku ya 21. Tuje katika mfano hai, kwanza huyo msichana kableed kuanzia tarehe 2/4/2019 mpaka 8/4/2019 hapa inaonesha katumia siku 7 kwahiyo mzunguko wake ni siku 35. Pili kasex naye tarehe 22/4/2019 ambapo ni siku ya 20 tangu alipoanza hedhi hivyo basi kutokana na huyo msichana ana mzunguko wa siku 35 na ovulation inafanyika siku ya 21 bila ubishi hiyo mimba ni yake maana kasex naye siku ya 20 ambayo ni siku ya hatari

100% mimba ni yake
Ndugu yang sina uhakika aisee ila anataka anipge hela yang coz ntalea mimba si yang.
 
Mzee mimba ni yako huyo demu ana mzunguko wa siku 35 ndio maana anableed kwa siku 7
Dah! Mi sina uhakika coz npo mbali nae kidoogo huenda kunamchiz pale.
 
Hiyo mimba inaweza kuwa yako au isiwe yako ni rahisi sana kubashiri siku ya kutolewa yai kama unaujua mzunguko wa mpenzi wako unasiku ngapi i.e 21,28,30,32,35,40 etc
Sasa kama iko hivi kujua siku ya yai kutolewa ambazo ndo siku za hatari(ambazo mimba huweza kutungwa kama kutakua na mbegu za kiume) ni rahisi tu. Chukua siku zote za mzunguko mfano 28 toa siku 14 utapata 14 siku ya 14 kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku28 ndo huna high chance ya yeye kushika mimba. Sasa jumlisha siku tatu mbele ya hiyo siku ya 14 na pia toa siku tatu kwa hiyo siku ya 14 hapo pia kuna uwezekano wa kumpa mimba mpenzi wako. Vivyo hivyo kama anamzunguko wa siku mfano 34 toa 14 utapata siku 20...siku ya ishirini kuna high chance ya yai kutolewa so kama utakuna nae na ukapiga peku atapata tu mimba.
Kwa kuongezea mbegu za kiume hustahimili dhoruba ya ukeni na huweza kukaa hadi siku 3 kwenye mfereji wa uke na yai huweza kukaa masaa maximum 36 yaani siku moja na nusu (INGAWA kuna some women are very fertile yai huweza kukaa zaidi ya saa 36 )kama halijarutubishwa huharibiwa/ka.
So kwa maelezo ya mtoa mada hapo juu hayatupi uhalali wa kusema mimba ni yake au sio yake mpaka atuambie mzunguko halisi wa mpenzi wake unasiku ngapi na kama unabadilika unabadilika kutoka kuwa wa siku ngapi mpaka ngapi.
VINGINEVYO unaweza KUBALI kulea mimba kumbe ya jamaa mwingine au UKAKATAA kumbe unakataa DAMU YAKO. Be careful
 
Back
Top Bottom