Uchaguzi 2020 Je, kuna uwezekano kutangaza nia kugombea Urais kupitia CHADEMA kwa baadhi, kunatumika kama kichaka cha kujifichia aibu ya kushindwa ubunge?.

mkuu, ngoja na mimi niulize swali linaloshabihiana na lako....

"Je, CCM kuogopa Tume Huru ya Uchaguzi siyo uthibitisho tosha kuwa wanaogopa kupoteza kiti cha urais pamoja na majority ndani ya bunge October 2020?"
 
Hivi kushindwa au kukosa ubunge ni aibu? Mbona sisi wengine kwenye hii population ya zaidi 50 million sio wabunge na hatuoni aibu! Hizi ni notions za ajabu ajabu. Embu tuwe progressive na kuacha huu uswahili,sarcasm notwithstanding.
 
Mimi kila utupiapo post zako /comments zako huwa nazielewa pamoja na utofauti wetu wa itikadi
 
Hahaha...Pasco kawapa ukweli mchungu, na we unajipendekeza kwa nani mkuu?
 
Ndiyo maana kada mwenzao aliwaita kuwa ni Interahamwe
 
Ndo kwako wewe, sasa unalazimisha awe nguri kwa watu wote? Acha hizo
Watu mnahasira na ndo kwanza kumepambazuka, kufikia October sipati picha, kumbukeni tu ugonjwa wa moyo kwenye ulimwengu huu wa mzee Covid-19 ni hatari sana....[emoji12][emoji1787][emoji1787]
 
@PascalMayalla Katika watu ambao ninawakubali Sana humu Ni wewe na mwanakijiji nyinyi mna itafsiri vizuri definition ya kuwa great thinkers na hoja yako ninzuri sema Ni kwamba asilimia kubwa la hili jukwaa wamejaa misukule inayotukana watu badala kujibu hoja, inaendekeza ushabiki wa kivyama na Hawa ndio wanapunguza ubora wa jamiiforum.Mzee hii Hali mzee we vumilia wasikutoe kwenye reli wewe Ni mtu mwenye madini tupo tunaokuelewa ambao hatuna vyama vya kisiasa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hoja yako Ina mashiko!!

Hii ni janja ya nyani tu.

Mbowe na Lisu hawawezi kuwania nafasi moja kwa mantiki ya kukigawa chama (ukizingatia matokeo huja na vinyongo+makundi), lazima mmoja atajitoa tu ila kikubwa ni mwingine kuepuka fedheha ya KO jimboni.

Msigwa ni George Floyd mbele ya ASAS huko Iringa,"I can't breathe" inamhusu.
 
Daaah wee Pascal, punguza propaganda zisizo na mantik mkuu...hata Kama jamaa ni msukuma mwenzako usifanye hvyo mkuu, uwe na kiasi kaka...mbona mnahangaika na chadema ambayo mnadai imejufia ?¿ hv cku chadema wanachukua nchi mtaficha wp sura zenu? ohoooo ujue mnashindana na watu wenye akili Kama ninyi na maarifa Kama ninyi... chadema itaendelea kuwepo na haiwezi kufa kwa maneno yenu ya kifedhuri... endeleeni kujidanganya na iko cku mtajuta kuzitumia kalamu zenu na Tv na redio vibaya... Time Will Tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…