Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Tatizo anaivalia njaa kibwaya uzeeni sasa ni majungu na kujipendekeza
Huyo kachoka uzee ushamuingia kwenye kichwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo kachoka uzee ushamuingia kwenye kichwa.
UkabilaNakwambia this man is very stupid! Sijui CDM imemtendanini? very hopeless !
Nyie huko kwenye TV na magazeti yenu kwanu hamumtakii huyo nguli ?
Mkiamua kungojea kwanza akose kuteulia mtamuua kwa njaa, ebo.
Safari hii yaonekana kama hapatakuwa na maonesho ya sabasaba wajameni.
Nakwambia this man is very stupid! Sijui CDM imemtendanini? very hopeless !
mkuu, ngoja na mimi niulize swali linaloshabihiana na lako....Wanabodi,
Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.
Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.
Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.
Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.
Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.
Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.
Elections 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
Kukaa kimya ni jibu mujarabu kwa mpumbavu.We unadhani matusi yatasaidia kujibu zile tuhuma?, mtu katoa tuhuma nzito kama zile dhidi ya serikali kisha wengine wakamjibu kuwa alikuwa kalewa sasa kwanini asije mwenyewe hadharani aeleze kilicho tokea?
Mimi kila utupiapo post zako /comments zako huwa nazielewa pamoja na utofauti wetu wa itikadiSiasa ni sayansi Kuna ujumbe Chadema wanauwasilisha kwa jamii...
Moja ni kuonyesha Chadema Kuna demokrasia kwamba yoyote anaweza kuchukua fomu na kuomba kuteuliwa.
Tofauti na CCM wanaojaribu kutoa fomu moja tu.
Mbili Chadema wamechoka kushadadia siasa za CCM nao sasa wanataka kuongelewa wao kama wao...ndio maana mpaka sasa ni 50/50 hakuna anaemshobokea mwenzake.
Tofauti na chaguzi za Nyuma Chadema walikuwa bize kufuatilia matukio kwenye chaguzi za CCM.
Chadema mwaka huu ilibidi watengeneze mnyukano feki, ili kuzua sito fahamu...yaani watengeneze kiki wapite nayo Hadi karibia na Uchaguzi.
Hata hivyo nawapongeza kwa hatua hizi za awali sio mbaya sana.
Jambo la mwisho ambalo nawashauri Chadema waandae mdahalo wa wagombea wao kila mmoja aeleze sera zake jinsi ya kuikwamua Tanzania.
Watakuwa wametengeneza kitu kikubwa Sana kwenye siasa za Tanzania.
Awe mchawi mara ngapi? Kwa wasukuma uchawi ni jadi, usipokuwa nao hueleweki kama mmasai asiye na ng'ombe.
Hahaha...Pasco kawapa ukweli mchungu, na we unajipendekeza kwa nani mkuu?Tatizo lako njaa imekupanda hadi kwenye ubongo na sasa unalazimisha upatiwe uteuzi.
Ulinza na ukabila ikashindikana sasa umeamua kuingia kwa miguu yoote kwenye kujipendekeza.
Nakuhakikishia kuwa hata huku utaangukia pua, wewe pambana na hali yako ndugu.
Swadaktaa!!!!mkuu, ngoja na mimi niulize swali linaloshabihiana na lako....
"Je, CCM kuogopa Tume Huru ya Uchaguzi siyo uthibitisho tosha kuwa wanaogopa kupoteza kiti cha urais pamoja na majority ndani ya bunge October 2020?"
amenikera sana leo huyu shetani!
Akili ndogo hujadili watu. Mumemuongelea bungeni wee hadi mkajiona wenyewe wapumbavu, polisi nao hawakubaki nyuma mumewaimbisha ngonjera zenu nao wakakubali, huku nako kila kukicha ajenda ya wapiga zumari wooote ni Mbowe. Hakika ninyi ni wapumbavu kupita maelezo.
Alipo sikia kuwa kaka yake kaukwaa u yesu basi akaweka tamaa mbele kuwa sasa dhiki ndiyo mwisho wakeHuyu ukabila tu ndiyo unamuongoza ule weledi wote aliokuwa nao ameutupa kuleee.......
Watu mnahasira na ndo kwanza kumepambazuka, kufikia October sipati picha, kumbukeni tu ugonjwa wa moyo kwenye ulimwengu huu wa mzee Covid-19 ni hatari sana....[emoji12][emoji1787][emoji1787]Ndo kwako wewe, sasa unalazimisha awe nguri kwa watu wote? Acha hizo
@PascalMayalla Katika watu ambao ninawakubali Sana humu Ni wewe na mwanakijiji nyinyi mna itafsiri vizuri definition ya kuwa great thinkers na hoja yako ninzuri sema Ni kwamba asilimia kubwa la hili jukwaa wamejaa misukule inayotukana watu badala kujibu hoja, inaendekeza ushabiki wa kivyama na Hawa ndio wanapunguza ubora wa jamiiforum.Mzee hii Hali mzee we vumilia wasikutoe kwenye reli wewe Ni mtu mwenye madini tupo tunaokuelewa ambao hatuna vyama vya kisiasa.Wanabodi,
Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.
Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.
Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.
Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.
Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.
Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.
Elections 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mayalla upo sawa kabisa! Hivi mtu kama
1.msigwa aweza kuwa rais?
2.Nyalandu aweza kuwa Rais?
3. Mbowe anaweza kuwa rais wa nchi hii?
Hilo hata mimi nimeliona otherwise watakuwa wanataka wajifiche kwa kichaka hicho waseme mimi nimgombea urais, siunajua kuna issue inawaka moto takukuru???
Daaah wee Pascal, punguza propaganda zisizo na mantik mkuu...hata Kama jamaa ni msukuma mwenzako usifanye hvyo mkuu, uwe na kiasi kaka...mbona mnahangaika na chadema ambayo mnadai imejufia ?¿ hv cku chadema wanachukua nchi mtaficha wp sura zenu? ohoooo ujue mnashindana na watu wenye akili Kama ninyi na maarifa Kama ninyi... chadema itaendelea kuwepo na haiwezi kufa kwa maneno yenu ya kifedhuri... endeleeni kujidanganya na iko cku mtajuta kuzitumia kalamu zenu na Tv na redio vibaya... Time Will TellWanabodi,