Kwanza ije ripoti ya mangula kulishwa sumuJibu hoja malafyale
Tunasubiri ripoti yenu inayosema mbowe alishambuliwa na wasiojulikana
Uwanja uwe sawa kwa vyama vya siasa na tume ya uchaguzi itende haki katika uchaguzi kwa vyama vyote. Bila shaka Mayalla unafahamu pasi na hali kipindi cha uchaguzi kuna kuwa na figisufigisu nyingi sana kwa vyama mbadalaWanabodi,
Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf tumevamiwa na ma simple minds ambao kazi yao ni kujadili watu badala ya kujadili ideas!. Kumezuka mtindo wa watu kutokujadili hoja iliyo mezani na badala yake kumjadili mtoa hoja!. Tujifunze kujadili mada iliyo mezani na sio kumjadili mtoa mada.
Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.
Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.
Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.
Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.
Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.
NB. Leo ninapozungumza haya, sii wengi wanajua kuwa kuna baadhi ya wabunge wa majimbo wa Chadema, hawatagombea tena uchaguzi wa 2020, hivyo namna nzuri ya kutogombea kwa heshima ni kugombea urais!. Lakini kwa wale ambao hawatapitishwa kwenye urais na kuendelea kugombea ubunge, then bandiko hili haliwahusu!.
Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.
Elections 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
MNAFIKI mkubwa huyu mie nilishamstukia zamani sana.
Shida Paskal umeanza mwenyewe kujadili watu badala ya vitu ...umeanza kuponda wagombea kuwa hawana ubavu wa kushindana na Magufuli kwa aliyoyafanya...Wanabodi,

Katika mijitu ya hovyo Pascal Mayalla ni moja ya majitu ya hovyo yanayoibukia kutafuta kuteuliwa. Kinachomuhangaisha ni ukabila na mwendendo wa magufuli kuchagua watu kwa ukanda/ukabila. He thinks he might be next in that ctegory!Unaweza ukawa sahihi,lakini SI kwa hoja dhaigu kuwa wanaogopa kazi nzuri aliyofanya Magufuli.
Mkuu hivi ktk mazingira ya Sasa mpinzani kushinda inaeezekana kweli!
Najua kwa Mungu hakuna linaloshindikana...lakini kwa utawala huu,mbunge wa Upinzani ,hususani wa CHADEMA kushinda Ni Kama haiwezekani!
Kama CCM ina Dola bado inatoka jasho kuisambaratisha kwa njia duni hivi ...hili linadhihirisha uimara wa fikrs za CHADEMA!
Inashangaza ,Ni vipi CCM inakosa washauri mahiri!kipindi hiki Cha Benovelant Dictotarship wangeimarisha chama kwa kuteka kundi fulani la elite kwa kuwaaminisha ktk misingi na maono ya Chama....matokeo yake ,eametumia nguvu kubwa na kuwapata wachumia utumbo,na kundi la wajinga limeongezeka,
Wanajielewa kwa kusoma upepo wamerudi nyuma na utaona haeata piga kura!na maisha yatendelea!
Cha kufurahisha Wapinzani itabaki na kundi kubwa la watu ambao Wana amini ktk Siasa za Kiliberali ,wasomi na wasiosoma.Kumbuka kundi Hili halinunuliki Wala kushawushiwa kuunga mkono!
Ndio maana hiki Ni kipindi Cha mpito tu CHADEMA is there to survive!
Kuwachukua kina Lijua likali na wenzake Ni mbinu dhaifu Sana ....ndio maana hata hoja zao Ni dhaifu na legelege Sana ,zinaishia kujadili maishaya Mbowe na kupingana na Katiba ya CHADEMA ambayo ndio imewapa Ubunge na wameishi nayo kea miaka kadhaa!
Hivi unajua kuwa zaidi ya asilimia 70 ya watumishi wa Umma hawakubaliani na Hali ilivyo.....ndio maana Dodoma hata baada ya muda wa kujiandikisha kupita NEC iliwafuta maofisini kuwabembeleza wajiandikishe kupiga kura!?
Hakuna upinzani legelege maana kama ungelikuwa legelege, kwa nguvu ya polisi, CCM, mahakama, bunge, upinzani ungelikuwa umeshatoweka. Kitu legelege unatumia nguvu zote hizo? yeye ndiye legelege maana kama una nguvu ya hoja huna sababu ya kutumia jeshi, polisi, ccm, mahakama, bunge, kugawa hela barabarani, kununu wapinzani etc!Pamoja na kusema upinzani legelege nimefurahi kuona umesema Tundu Na Zitto wakisimama watamtia jambajamba JPM.
Huyu dawa yake ni member mmoja anaitwa Genta.Katika mijitu ya hovyo Pascal Mayalla ni moja ya majitu ya hovyo yanayoibukia kutafuta kuteuliwa. Kinachomuhangaisha ni ukabila na mwendendo wa magufuli kuchagua watu kwa ukanda/ukabila. He thinks he might be next in that ctegory!
Uko sahihi lakini hata kwenye nyanya mzima zipo mbovu, inawezekana akawa siyo nguli kama udhaniavyo isipokuwa hajakutanishwa na waandishi makini, hata hivyo waandishi wa bongo ni wa kiwango cha chini kwani bahasha za CCM ziliwaharibu.Huyo ni nguli wa habari sio takataka Kama wewe [emoji23][emoji23]
Ni li-Sukuma lenzangu mkuu!Una akili za kishamba sana !
Kwani ameanza kuagaaga?Natangaza hadharani kumdharau Pascal Mayalla katika kipindi chake chote kifupi alichobakiwa nacho hapa duniani
Huyo mwandishi ni ndugu yangu lakini kwa akili zake hizi za sasa hivi wacha wamshambulie tu! Amezidi kujikomba kwa jiwe kwa ajili ya uteyuzi!!Watu badala ya kujadili mada wanamshambilia mwandishi, ukweli uchaguzi huu kile "chama kikuu cha upinzani kitapoteza majimbo yote". Je ni kweli wanaohama wamenunuliwa? Wanaficha ukweli wa mambo lakini oktoba itakuwa fedheha kubwa. Mkuu Pasikali nafikiri watakuwa wanapitia mada zako na kutafakari kwa kina lakini wameshachelewa sana
Aliyepo madarakani ndiye kasababisha wafanye hivyo ndiyo maana wanaeleza weaknesses utawala huu ambao umeshindwa kwelikweli kwenye nyanja zote
Ishu za ulegelege wa vyama vya upinzani umeonesha wazi unafiki maana mimi binafsi naona wapinzani wapo imara ila wale tawala wametumia nguvu ya ziada isiyo ya kisiasa kuwazimisha wapinzani ili wasionekane tena hata katika chaguzi mbalimbali na sasa huu mkuu.
Sema ulegelege wa upinzani niseme ulegelege wa hao unaodai wanaogopwa.