Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf tumevamiwa na ma simple minds ambao kazi yao ni kujadili watu badala ya kujadili ideas!. Kumezuka mtindo wa watu kutokujadili hoja iliyo mezani na badala yake kumjadili mtoa hoja!. Tujifunze kujadili mada iliyo mezani na sio kumjadili mtoa mada.
Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.
Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.
Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.
Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.
Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.
NB. Leo ninapozungumza haya, sii wengi wanajua kuwa kuna baadhi ya wabunge wa majimbo wa Chadema, hawatagombea tena uchaguzi wa 2020, hivyo namna nzuri ya kutogombea kwa heshima ni kugombea urais!. Lakini kwa wale ambao hawatapitishwa kwenye urais na kuendelea kugombea ubunge, then bandiko hili haliwahusu!.
Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.
Elections 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
1. Kujadili na kutojadili personality ya mleta ama muanzisha mada badala ya mada husika inategemea na mantiki ya hoja take. Kuna wengi wanaanzisha mada kujadili personal life ya mtu. So in return unataka wajadili nini zaidi ya wewe nawe kuulizwa kuulizwa maswali maswali kuhusu personality yako?
2. Mfano ni mada yako hii hii unauliza swali kwa kuingiza mambo ya kimbea ya mitaani. Yaani umeiandaa kana kwamba wewe si mwandishi professional uliyekwenda shule kwelikweli unayeweza kuleta hoja zenye kufikirisha kisawasawa kama ni takwimu basi ziwe ni halisi zilizofanyiwa utafiti wa kisayansi....
3. Mfano umetoa wapi takwimu za CCM kushinda kwa 99.9% kama si umbea wako tu?
4. I thought ungeandaa hoja kwa msingi wa kuangalia trend ya chaguzi za 2000 (Mkapa akirudia muhula wa II) na 2010 (Kikwete akirudia muhula wake wa pili) ili kuona kama huyu
Swal
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf tumevamiwa na ma simple minds ambao kazi yao ni kujadili watu badala ya kujadili ideas!. Kumezuka mtindo wa watu kutokujadili hoja iliyo mezani na badala yake kumjadili mtoa hoja!. Tujifunze kujadili mada iliyo mezani na sio kumjadili mtoa mada.
Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.
Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.
Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.
Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.
Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.
NB. Leo ninapozungumza haya, sii wengi wanajua kuwa kuna baadhi ya wabunge wa majimbo wa Chadema, hawatagombea tena uchaguzi wa 2020, hivyo namna nzuri ya kutogombea kwa heshima ni kugombea urais!. Lakini kwa wale ambao hawatapitishwa kwenye urais na kuendelea kugombea ubunge, then bandiko hili haliwahusu!.
Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.
Elections 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
1. Mayalla nadhani kuna wakati unakuwa hauko sawa ktk arguments zako....
2. Mfano umejua kabisa kuwa unachoposti hapa ni hisia na unazi wako usio na uhalisia na ndipo ukaanza kujihami kabla kuwa watu wajadili hoja badala ya personality...
3. Hoja hapa iko wapi zaidi ya kuwa umeandika propaganda tu za ki - CCM dhidi ya washindani wake?
4. Hoja yako haina mantiki wala uhalisia. Kwa mfano kwa kigezo gani cha kisayansi kisichoacha chembe ya mashaka ama kuzua maswali ulichotumia kusema kuwa mgonbea wa CCM ambaye anaweza kuwa Magufuli atashinda kwa 99.9%?
5. Katika muktadha huu, nani ajadili hoja hii isiyo na msingi wa uhalisia zaidi kupigwa na mashambulizi binafsi?
6. I thought ungeijenga hoja yako ya nani aweza kuwa mshindi wa Urais kwa msingi wa projections ya matokeo ya chaguzi zilizopita zote chini ya mfumo wa vyama vingi; 1995, 2000, 2005, 2010 na 2015...
7. Mimi nitakuambia kwamba possibility ya mgombea wa CCM kushinda uchaguzi huu ni 50/50....
å Historia inaonesha kuwa ni Ben Mkapa pekee aliyeshinda uchaguzi mwaka 1995 kwa 61.3% ya kura zote dhidi ya mshindani wake wa karibu Agustino Mrema aliyepata 27.8% ya kura zote...
å Na katika muhula wake ya pili kura zake zikaongezeka 10% na kupata 71.7% mwaka 2000
å Mambo yalikuwa tofauti sana kwa Jakaya Kikwete (CCM) mwaka 2005 na 2010. Katika uchaguzi wa mwaka 2005 Jakaya alishinda kwa 80.3% ya kura zote dhidi ya washindani wake wawili wa karibu Prof. Lipumba (CUF) 11.7% na Freeman Mbowe (CHADEMA) 6% ya kura zote....
å Katika muhula wa pili wa Jakaya Kikwete mwaka 2010 kukawa na tremendous fallback ya kura kutoka 80.3% hadi 61.2% ya kura zote. Hili likiwa ni anguko la 20%...
å Mwaka 2015 awamu ya kwanza CCM kwa taabu na kwa mbinde kweli kweli, mgombea wao John Pombe Magufuli alishinda kwa 58.5% ya kura zote dhidi ya Edward Ngoyai Lowassa (CHADEMA) aliyepata 40% ya kura zote....
å Kwa umahiri wa uongozi katika nyanja zote, hutuwezi ukamlingani kwa lolote Magufuli na Ben Mkapa ama Jakaya Kikwete....
å Hebu kwa vigezo hivi na kwa takwimu hizi unadhani mgombea wa CCM atatobolea wapi? Suppose aanguke kwa 10% tu ya kura zote toka ushindi wa 58% maana yake atapata 48%, atashindia wapi huyu?....
å Nafahamu mtasema mfumo mzima wa uchaguzi kwa maana ya mazingira, sheria na katiba zinambeba mgombea wa CCM especially kwa sababu ana uwezo wa kutumia mazingira haya kufanya manipulation ili situation iwe favorable kwake....
å Lakini tukumbuke jambo moja ama matatu;
1. Kwamba 1995, 2000, 2010 na 2015 mfumo wa uchaguzi kisheria na kikatiba ulikuwa ni huu huu...
2. Tume ya uchaguzi ni hii hii haijabadilika kisheria na kimuundo
3. Above all, THE WORLD THIS TIME IS WATCHING YOU WITH FOUR OPEN EYES...!!
4. Last but not least, siyo kila siku ni jumatatu. Kwamba mlichokifanya mwaka 1995, na 2000 na 2005 na 2010 na 2015 kuiba kura za mshindi halali na kumpa mgombea wa CCM itafanya kazi tena....
Za mwizi siku zote ni 40. Kuna kila dalili kuwa mwizi this time, amekamatika. Kumpamba na kumsifu kinafiki na kwa uongo huyu Rais wenu imezidi kiwango cha kawaida. Hii ni kuonesha kuwa;
"......Kibaya (Bwana Magufuli pombe na CCM) kinajitembeza kwelikweli lakini bahati mbaya sana hata hakinunuliki....."
Lakini upande wa pili wanasema;
".....Chema chajiuza chenyewe......"