Uchaguzi 2020 Je, kuna uwezekano kutangaza nia kugombea Urais kupitia CHADEMA kwa baadhi, kunatumika kama kichaka cha kujifichia aibu ya kushindwa ubunge?.

Wanabodi,

Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf tumevamiwa na ma simple minds ambao kazi yao ni kujadili watu badala ya kujadili ideas!. Kumezuka mtindo wa watu kutokujadili hoja iliyo mezani na badala yake kumjadili mtoa hoja!. Tujifunze kujadili mada iliyo mezani na sio kumjadili mtoa mada.

Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.

Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.

Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.

Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.

Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.

NB. Leo ninapozungumza haya, sii wengi wanajua kuwa kuna baadhi ya wabunge wa majimbo wa Chadema, hawatagombea tena uchaguzi wa 2020, hivyo namna nzuri ya kutogombea kwa heshima ni kugombea urais!. Lakini kwa wale ambao hawatapitishwa kwenye urais na kuendelea kugombea ubunge, then bandiko hili haliwahusu!.

Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.

Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?

Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.

Elections 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
Kwa upande wangu, hiyo ndiyo demokrasia. Ni heri kujaribu kuliko kushindwa kujaribu kwa sababu kwamba ukijaribu unaweza kushinda au kushindwa, lakini usipojaribu maana yake nafasi iliyopo kwako ni kushindwa tu. Nakumbuka mwalimu wetu wa Bible Knowledge enzi hizo za Maua Seminari alikuwa anauliza maswali mawili tu kwenye mtihahi na yenye maksi 50 kila moja. Ikitokea kwamba huna interest na somo lake na katika kujiandaa kwako hayo maswali yalikuwa nje ya yale uliyosoma, kwenye mtihani utapata shinda ya kujibu hayo maswali mawili maana utaona huna majibu yake. Mimi nilijiuliza baada ya kuona kwamba sina jibu "nijaribu au nirudishe karatasi bila kitu?" Likaja wazo kwamba nijaribu kwa kadri nitakavyoelewa swali, ingawa sikuwa na hakika na jibu langu. Matokeo yalipotoka nikajikuta nimepata 50%, which means nilipata 'pass' katika somo hilo.

Ilitokea pia kwa somo la Jiongrafia. Mwalimu wetu alikuwa Mholanzi na alikuwa akitunga maswali magumu. Wakati wa mtihani maswali aliyoleta hakuna hata moja nililoona kuwa ningeweza kujibu. Nikajiuliza tena - "niache kujaribu na kupeleka karatasi bila kitu au nijaribu kwa kadri nilivyoelewa swali?" Nikaamua nijaribu, lakini sikuwa na uhakika. Matokea yalipotoka nikajikuta pia nimepata 50%. Tangu wakati huo hadi leo nina msemo kwamba 'heri kujaribu kuliko kushindwa kujaribu'. Hivyo hivyo hata kwa wanasiasa. Wale wanaojaribu wanaweza kupata au kukosa. Lakini wasiojaribu wao wanachoweza kupata ni kukosa tu. Ni fursa kwa kila Mtanzania anayejisikia kwamba anaweza kuwa na mchango wa aina fulani kwenye uongozi wa nchi au viongozi wengine kujitokeza na kuonyesha nia ya ushindani maana ni vizuri zaidi mgombea kushinda kwa kuchaguliwa (maana kunampa nguvu na mamlaka anayopewa na wanachi), kuliko kupitishwa bila kupingwa bila kupigiwa kura. Kwa upande wangu, ukiniuliza nani anajiona kama kiongozi kati ya anayepitishwa bila kupingwa na anayepigiwa kura na kushinda, jibu langu ni huyu wa pili maana anajisikia kuwa na power na mamlaka ya kuongoza. Na hii ndiyo maana ya demokrasia - kuamua kufanya kile unachoona unaweza kufanya bila kuvunja sheria za nchi.
 
Wanabodi,

Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf tumevamiwa na ma simple minds ambao kazi yao ni kujadili watu badala ya kujadili ideas!. Kumezuka mtindo wa watu kutokujadili hoja iliyo mezani na badala yake kumjadili mtoa hoja!. Tujifunze kujadili mada iliyo mezani na sio kumjadili mtoa mada.

Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.

Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.

Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.

Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.

Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.

NB. Leo ninapozungumza haya, sii wengi wanajua kuwa kuna baadhi ya wabunge wa majimbo wa Chadema, hawatagombea tena uchaguzi wa 2020, hivyo namna nzuri ya kutogombea kwa heshima ni kugombea urais!. Lakini kwa wale ambao hawatapitishwa kwenye urais na kuendelea kugombea ubunge, then bandiko hili haliwahusu!.

Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.

Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?

Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.

Elections 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!

1. Kujadili na kutojadili personality ya mleta ama muanzisha mada badala ya mada husika inategemea na mantiki ya hoja take. Kuna wengi wanaanzisha mada kujadili personal life ya mtu. So in return unataka wajadili nini zaidi ya wewe nawe kuulizwa kuulizwa maswali maswali kuhusu personality yako?

2. Mfano ni mada yako hii hii unauliza swali kwa kuingiza mambo ya kimbea ya mitaani. Yaani umeiandaa kana kwamba wewe si mwandishi professional uliyekwenda shule kwelikweli unayeweza kuleta hoja zenye kufikirisha kisawasawa kama ni takwimu basi ziwe ni halisi zilizofanyiwa utafiti wa kisayansi....

3. Mfano umetoa wapi takwimu za CCM kushinda kwa 99.9% kama si umbea wako tu?

4. I thought ungeandaa hoja kwa msingi wa kuangalia trend ya chaguzi za 2000 (Mkapa akirudia muhula wa II) na 2010 (Kikwete akirudia muhula wake wa pili) ili kuona kama huyu

Swal

1. Mayalla nadhani kuna wakati unakuwa hauko sawa ktk arguments zako....

2. Mfano umejua kabisa kuwa unachoposti hapa ni hisia na unazi wako usio na uhalisia na ndipo ukaanza kujihami kabla kuwa watu wajadili hoja badala ya personality...

3. Hoja hapa iko wapi zaidi ya kuwa umeandika propaganda tu za ki - CCM dhidi ya washindani wake?

4. Hoja yako haina mantiki wala uhalisia. Kwa mfano kwa kigezo gani cha kisayansi kisichoacha chembe ya mashaka ama kuzua maswali ulichotumia kusema kuwa mgonbea wa CCM ambaye anaweza kuwa Magufuli atashinda kwa 99.9%?

5. Katika muktadha huu, nani ajadili hoja hii isiyo na msingi wa uhalisia zaidi kupigwa na mashambulizi binafsi?

6. I thought ungeijenga hoja yako ya nani aweza kuwa mshindi wa Urais kwa msingi wa projections ya matokeo ya chaguzi zilizopita zote chini ya mfumo wa vyama vingi; 1995, 2000, 2005, 2010 na 2015...

7. Mimi nitakuambia kwamba possibility ya mgombea wa CCM kushinda uchaguzi huu ni 50/50....

å Historia inaonesha kuwa ni Ben Mkapa pekee aliyeshinda uchaguzi mwaka 1995 kwa 61.3% ya kura zote dhidi ya mshindani wake wa karibu Agustino Mrema aliyepata 27.8% ya kura zote...

å Na katika muhula wake ya pili kura zake zikaongezeka 10% na kupata 71.7% mwaka 2000

å Mambo yalikuwa tofauti sana kwa Jakaya Kikwete (CCM) mwaka 2005 na 2010. Katika uchaguzi wa mwaka 2005 Jakaya alishinda kwa 80.3% ya kura zote dhidi ya washindani wake wawili wa karibu Prof. Lipumba (CUF) 11.7% na Freeman Mbowe (CHADEMA) 6% ya kura zote....

å Katika muhula wa pili wa Jakaya Kikwete mwaka 2010 kukawa na tremendous fallback ya kura kutoka 80.3% hadi 61.2% ya kura zote. Hili likiwa ni anguko la 20%...

å Mwaka 2015 awamu ya kwanza CCM kwa taabu na kwa mbinde kweli kweli, mgombea wao John Pombe Magufuli alishinda kwa 58.5% ya kura zote dhidi ya Edward Ngoyai Lowassa (CHADEMA) aliyepata 40% ya kura zote....

å Kwa umahiri wa uongozi katika nyanja zote, hutuwezi ukamlingani kwa lolote Magufuli na Ben Mkapa ama Jakaya Kikwete....

å Hebu kwa vigezo hivi na kwa takwimu hizi unadhani mgombea wa CCM atatobolea wapi? Suppose aanguke kwa 10% tu ya kura zote toka ushindi wa 58% maana yake atapata 48%, atashindia wapi huyu?....

å Nafahamu mtasema mfumo mzima wa uchaguzi kwa maana ya mazingira, sheria na katiba zinambeba mgombea wa CCM especially kwa sababu ana uwezo wa kutumia mazingira haya kufanya manipulation ili situation iwe favorable kwake....

å Lakini tukumbuke jambo moja ama matatu;

1. Kwamba 1995, 2000, 2010 na 2015 mfumo wa uchaguzi kisheria na kikatiba ulikuwa ni huu huu...
2. Tume ya uchaguzi ni hii hii haijabadilika kisheria na kimuundo

3. Above all, THE WORLD THIS TIME IS WATCHING YOU WITH FOUR OPEN EYES...!!

4. Last but not least, siyo kila siku ni jumatatu. Kwamba mlichokifanya mwaka 1995, na 2000 na 2005 na 2010 na 2015 kuiba kura za mshindi halali na kumpa mgombea wa CCM itafanya kazi tena....

Za mwizi siku zote ni 40. Kuna kila dalili kuwa mwizi this time, amekamatika. Kumpamba na kumsifu kinafiki na kwa uongo huyu Rais wenu imezidi kiwango cha kawaida. Hii ni kuonesha kuwa;

"......Kibaya (Bwana Magufuli pombe na CCM) kinajitembeza kwelikweli lakini bahati mbaya sana hata hakinunuliki....."

Lakini upande wa pili wanasema;

".....Chema chajiuza chenyewe......"
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽🙏🏽

1. Kujadili na kutojadili personality ya mleta ama muanzisha mada badala ya mada husika inategemea na mantiki ya hoja take. Kuna wengi wanaanzisha mada kujadili personal life ya mtu. So in return unataka wajadili nini zaidi ya wewe nawe kuulizwa kuulizwa maswali maswali kuhusu personality yako?

2. Mfano ni mada yako hii hii unauliza swali kwa kuingiza mambo ya kimbea ya mitaani. Yaani umeiandaa kana kwamba wewe si mwandishi professional uliyekwenda shule kwelikweli unayeweza kuleta hoja zenye kufikirisha kisawasawa kama ni takwimu basi ziwe ni halisi zilizofanyiwa utafiti wa kisayansi....

3. Mfano umetoa wapi takwimu za CCM kushinda kwa 99.9% kama si umbea wako tu?

4. I thought ungeandaa hoja kwa msingi wa kuangalia trend ya chaguzi za 2000 (Mkapa akirudia muhula wa II) na 2010 (Kikwete akirudia muhula wake wa pili) ili kuona kama huyu

Swali lako hili contextually halina mantiki

1. Mayalla nadhani kuna wakati unakuwa hauko sawa ktk arguments zako....

2. Mfano umejua kabisa kuwa unachoposti hapa ni hisia na unazi wako usio na uhalisia na ndipo ukaanza kujihami kabla kuwa watu wajadili hoja badala ya personality...

3. Hoja hapa iko wapi zaidi ya kuwa umeandika propaganda tu za ki - CCM dhidi ya washindani wake?

4. Hoja yako haina mantiki wala uhalisia. Kwa mfano kwa kigezo gani cha kisayansi kisichoacha chembe ya mashaka ama kuzua maswali ulichotumia kusema kuwa mgonbea wa CCM ambaye anaweza kuwa Magufuli atashinda kwa 99.9%?

5. Katika muktadha huu, nani ajadili isiyo na msingi wa uhalisia zaidi kupigwa na mashambulizi binafsi?

....

Mkuu Kitaturu, katika bandiko lako nimechagua utangulizi, ukimwandama mleta mada, na hitimisho linalaloakisi upande wa kisiasa unaoegemea. Rejea mada yako ifuatayo.
Elections 2020 - Ni nini mwelekeo na nafasi ya Tundu Lissu kisheria kugombea nafasi yoyote ya uongozi hususani Ubunge na Urais katika uchaguzi mkuu mwaka - 2020?
Ni vyema na busara kujikita katika masuala yenye kugusa maendeleo ya Taifa ili kuyahusisha na mtu anayeweza kuyatafsiri kwa vitendo.

Kwa mantiki hiyo, swali la msingi ni je, Rais aliyeko madarakani amelifanyia nini Taifa ili apewe dhamana ya kuliongoza tena.

Katika kujibu swali hilo, basi itakuwa sahihi kujiuliza iwapo watia nia ya kugombea Urais wanaweza kufanya vizuri. Kama wanaweza, ni budi kujiuliza wamefanya nini cha mfano wa kuthibitisha uwezo wao, kwa maana nafasi ya Urais siyo ya majaribio. "Ikulu ni mahala patakatifu", aliasa Baba wa Taifa.
 
Paschal kama ulivyomaliza hapo chini basi bandiko lako linakosa mantiki au uhalali kwani ulitegemea mawazo yako na watz baadhi yanatosha kuidrive chadema kumpitisha lissu kuwa mgombea? Au ulitaka CDM ikose uhalali wa kuhalalisha watu wake kwa hoja kabla ya maamuzi ambayo wengi nawe ukiwemo ukipinga kamati kuu ilivyompitisha mbowe pale bahari beach!
Kama ndivyo usiwe na haraka bandiko lako lingekuwa na mantiki au uhalali lingekuja august
 
Pascal Mayalla siku hizi unabidii
Teuzi wamesema ziko ngapi mwakani?!
Uandishi wa aina hii kuna baadhi waliishia 'The Hague ujue!

Kumbuka wimbo wa Upendo Nkone
Nakukumbusha kwani wewe ni Mkristu
'.....Usifurahi Juu Yangu nipatapo tatizo...........'
 
Wanabodi,

Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf tumevamiwa na ma simple minds ambao kazi yao ni kujadili watu badala ya kujadili ideas!. Kumezuka mtindo wa watu kutokujadili hoja iliyo mezani na badala yake kumjadili mtoa hoja!. Tujifunze kujadili mada iliyo mezani na sio kumjadili mtoa mada.

Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.

Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.

Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.

Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.

Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.

NB. Leo ninapozungumza haya, sii wengi wanajua kuwa kuna baadhi ya wabunge wa majimbo wa Chadema, hawatagombea tena uchaguzi wa 2020, hivyo namna nzuri ya kutogombea kwa heshima ni kugombea urais!. Lakini kwa wale ambao hawatapitishwa kwenye urais na kuendelea kugombea ubunge, then bandiko hili haliwahusu!.

Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.

Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?

Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.

Elections 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
2015 waligombea zaidi ya 40 halafu 90% Kati yao wanamalizia Ubunge wao na wewe umebaki kutuma KISWANGLISH comments mda mwingi lakini hata kizungu hujui Vizuri, yaaani uata UKATIBU TARAFA HUJACHAGULIWA na hivi karibuni ulitangaza kustaafu JF lakini bado tu UNATAMAA ila hujapata CHEO CHOCHOTE kija BUHOHELA walikuzidi kete JIPANGE UPYA Niko MWAMZA karibu , una UDHI SANA [emoji83][emoji83][emoji83][emoji1018][emoji1018]

Sent from my TECNO F2LTE using JamiiForums mobile app
 
1. Kujadili na kutojadili personality ya mleta ama muanzisha mada badala ya mada husika inategemea na mantiki ya hoja take. Kuna wengi wanaanzisha mada kujadili personal life ya mtu. So in return unataka wajadili nini zaidi ya wewe nawe kuulizwa kuulizwa maswali maswali kuhusu personality yako?

2. Mfano ni mada yako hii hii unauliza swali kwa kuingiza mambo ya kimbea ya mitaani. Yaani umeiandaa kana kwamba wewe si mwandishi professional uliyekwenda shule kwelikweli unayeweza kuleta hoja zenye kufikirisha kisawasawa kama ni takwimu basi ziwe ni halisi zilizofanyiwa utafiti wa kisayansi....

3. Mfano umetoa wapi takwimu za CCM kushinda kwa 99.9% kama si umbea wako tu?

4. I thought ungeandaa hoja kwa msingi wa kuangalia trend ya chaguzi za 2000 (Mkapa akirudia muhula wa II) na 2010 (Kikwete akirudia muhula wake wa pili) ili kuona kama huyu

Swali lako hili contextually halina mantiki

1. Mayalla nadhani kuna wakati unakuwa hauko sawa ktk arguments zako....

2. Mfano umejua kabisa kuwa unachoposti hapa ni hisia na unazi wako usio na uhalisia na ndipo ukaanza kujihami kabla kuwa watu wajadili hoja badala ya personality...

3. Hoja hapa iko wapi zaidi ya kuwa umeandika propaganda tu za ki - CCM dhidi ya washindani wake?

4. Hoja yako haina mantiki wala uhalisia. Kwa mfano kwa kigezo gani cha kisayansi kisichoacha chembe ya mashaka ama kuzua maswali ulichotumia kusema kuwa mgonbea wa CCM ambaye anaweza kuwa Magufuli atashinda kwa 99.9%?

5. Katika muktadha huu, nani ajadili isiyo na msingi wa uhalisia zaidi kupigwa na mashambulizi binafsi?

6. I thought ungeijenga hoja yako ya nani aweza kuwa mshindi wa Urais kwa msingi wa projections ya matokeo ya chaguzi zilizopita zote chini ya mfumo wa vyama vingi; 1995, 2000, 2005, 2010 na 2015...

7. Mimi nitakuambia kwamba possibility ya mgombea wa CCM kushinda uchaguzi huu ni 50/50....

å Historia inaonesha kuwa ni Ben Mkapa pekee aliyeshinda uchaguzi mwaka 1995 kwa 61.3% ya kura zote dhidi ya mshindani wake wa karibu Agustino Mrema aliyepata 27.8% ya kura zote...

å Na katika muhula wake ya pili kura zake zikaongezeka 10% na kupata 71.7% mwaka 2000

å Mambo yalikuwa tofauti sana kwa Jakaya Kikwete (CCM) mwaka 2005 na 2010. Katika uchaguzi wa mwaka 2005 Jakaya alishinda kwa 80.3% ya kura zote dhidi ya washindani wake wawili wa karibu Prof. Lipumba (CUF) 11.7% na Freeman Mbowe (CHADEMA) 6% ya kura zote....

å Katika muhula wa pili wa Jakaya Kikwete mwaka 2010 kukawa na tremendous fallback ya kura kutoka 80.3% hadi 61.2% ya kura zote. Hili likiwa ni anguko la 20%...

å Mwaka 2015 awamu ya kwanza CCM kwa taabu na kwa mbinde kweli kweli, mgombea wao John Pombe Magufuli alishinda kwa 58.5% ya kura zote dhidi ya Edward Ngoyai Lowassa (CHADEMA) aliyepata 40% ya kura zote....

å Kwa umahiri wa uongozi katika nyanja zote, hutuwezi ukamlingani kwa lolote Magufuli na Ben Mkapa ama Jakaya Kikwete....

å Hebu kwa vigezo hivi na kwa takwimu hizi unadhani mgombea wa CCM atatobolea wapi? Suppose aanguke kwa 10% tu ya kura zote toka ushindi wa 58% maana yake atapata 48%, atashindia wapi huyu?....

å Nafahamu mtasema mfumo mzima wa uchaguzi kwa maana ya mazingira, sheria na katiba zinambeba mgombea wa CCM especially kwa sababu ana uwezo wa kutumia mazingira haya kufanya manipulation ili situation iwe favorable kwake....

å Lakini tukumbuke jambo moja ama matatu;

1. Kwamba 1995, 2000, 2010 na 2015 mfumo wa uchaguzi kisheria na kikatiba ulikuwa ni huu huu...
2. Tume ya uchaguzi ni hii hii haijabadilika kisheria na kimuundo

3. Above all, THE WORLD THIS TIME IS WATCHING YOU WITH FOUR OPEN EYES...!!

4. Last but not least, siyo kila siku ni jumatatu. Kwamba mlichokifanya mwaka 1995, na 2000 na 2005 na 2010 na 2015 kuiba kura za mshindi halali na kumpa mgombea wa CCM itafanya kazi tena....

Za mwizi siku zote ni 40. Kuna kila dalili kuwa mwizi this time, amekamatika. Kumpamba na kumsifu kinafiki na kwa uongo huyu Rais wenu imezidi kiwango cha kawaida. Hii ni kuonesha kuwa;

"......Kibaya (Bwana Magufuli pombe na CCM) kinajitembeza kwelikweli lakini bahati mbaya sana hata hakinunuliki....."

Lakini upande wa pili wanasema;

".....Chema chajiuza chenyewe......"
Umemaliza yote. Aibu yake Pasco.
 
Hata kwenye mbio za marathon, timu/nchi inakuwa na wakimbiaji zaidi ya mmoja. Lakini mlengwa wa ushindi mmoja na wengine wote ni ma Decoys, kunyong'onyeza timu pinzani. Hizo ni mbinu za Medani ktk chaguzi😂😂
 
Chama chetu CCM kimeporwa na washamba wenye akili kama Mayalla. Lini tuambie kulikua na ujinga wa mtu mmoja tu kupendekezwa na Chama Membe aruhusiwe tuone. Lini tuliambiwa tena bungeni taka msitake na katibu wa CCM kaweka mkia makalioni kukemea hao wajinga. Kutumia vyombo vya dola na usalama wa Taifa kusifia Chama na kuacha uchumi na maisha ya watu kimekuwa na tija gani. Kufunga watu hovyo hovyo na kununua wanasiasa malaya kumesaidia nini shida za wananchi. Mayala na wajinga wenzio lambeni viatu ila hamna Amani ya moyo kabisa. Tuna imani siku moja CCM yetu ile yenye tabasamu itarudi na kumjali mwananchi bila ulaghai. CCM WENYE AKILI TUPO NA TUTAKUWEPO MLIOJIVUA CHUPI ENDELEZENI UJINGA.
 
Wanabodi,

Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf tumevamiwa na ma simple minds ambao kazi yao ni kujadili watu badala ya kujadili ideas!. Kumezuka mtindo wa watu kutokujadili hoja iliyo mezani na badala yake kumjadili mtoa hoja!. Tujifunze kujadili mada iliyo mezani na sio kumjadili mtoa mada.

Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.

Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.

Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.

Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.

Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.

NB. Leo ninapozungumza haya, sii wengi wanajua kuwa kuna baadhi ya wabunge wa majimbo wa Chadema, hawatagombea tena uchaguzi wa 2020, hivyo namna nzuri ya kutogombea kwa heshima ni kugombea urais!. Lakini kwa wale ambao hawatapitishwa kwenye urais na kuendelea kugombea ubunge, then bandiko hili haliwahusu!.

Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.

Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?

Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.

Elections 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!

Uchaguzi sio chama pekee mfano cha kujiuliza Kilimanjaro kulikuwa na mendeleo muda mrefu na bad wamechagua upinzani kwa miaka zaidi ya 20. Watu wa kaskazini hawasubiri serikali kufanya kila kitu shule nyingi zimejengwa na michango ya want hivyo ni utamaduni was sehemu. Kuna sehemu wanachagua kwa principal mfano kodi, sheria za ardhi na kuwezesha biashara. Upinzani ujue hawajawahi kushika serikali lakini bad wamechaguliwa kwa miaka mingi sana so pesa pekee. Mfano jamii ya wachaga, wapare na wamasai ni tofauti. Wamasai wanategemea serikali zaidi.
 
Wanabodi,

Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf tumevamiwa na ma simple minds ambao kazi yao ni kujadili watu badala ya kujadili ideas!. Kumezuka mtindo wa watu kutokujadili hoja iliyo mezani na badala yake kumjadili mtoa hoja!. Tujifunze kujadili mada iliyo mezani na sio kumjadili mtoa mada.

Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.

Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.

Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.

Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.

Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.

NB. Leo ninapozungumza haya, sii wengi wanajua kuwa kuna baadhi ya wabunge wa majimbo wa Chadema, hawatagombea tena uchaguzi wa 2020, hivyo namna nzuri ya kutogombea kwa heshima ni kugombea urais!. Lakini kwa wale ambao hawatapitishwa kwenye urais na kuendelea kugombea ubunge, then bandiko hili haliwahusu!.

Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.

Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?

Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.

Elections 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
Rubbish
 
Unaweza ukawa sahihi,lakini SI kwa hoja dhaigu kuwa wanaogopa kazi nzuri aliyofanya Magufuli.
Mkuu hivi ktk mazingira ya Sasa mpinzani kushinda inaeezekana kweli!
Najua kwa Mungu hakuna linaloshindikana...lakini kwa utawala huu,mbunge wa Upinzani ,hususani wa CHADEMA kushinda Ni Kama haiwezekani!
Kama CCM ina Dola bado inatoka jasho kuisambaratisha kwa njia duni hivi ...hili linadhihirisha uimara wa fikrs za CHADEMA!
Inashangaza ,Ni vipi CCM inakosa washauri mahiri!kipindi hiki Cha Benovelant Dictotarship wangeimarisha chama kwa kuteka kundi fulani la elite kwa kuwaaminisha ktk misingi na maono ya Chama....matokeo yake ,eametumia nguvu kubwa na kuwapata wachumia utumbo,na kundi la wajinga limeongezeka,
Wanajielewa kwa kusoma upepo wamerudi nyuma na utaona haeata piga kura!na maisha yatendelea!
Cha kufurahisha Wapinzani itabaki na kundi kubwa la watu ambao Wana amini ktk Siasa za Kiliberali ,wasomi na wasiosoma.Kumbuka kundi Hili halinunuliki Wala kushawushiwa kuunga mkono!
Ndio maana hiki Ni kipindi Cha mpito tu CHADEMA is there to survive!
Kuwachukua kina Lijua likali na wenzake Ni mbinu dhaifu Sana ....ndio maana hata hoja zao Ni dhaifu na legelege Sana ,zinaishia kujadili maishaya Mbowe na kupingana na Katiba ya CHADEMA ambayo ndio imewapa Ubunge na wameishi nayo kea miaka kadhaa!
Hivi unajua kuwa zaidi ya asilimia 70 ya watumishi wa Umma hawakubaliani na Hali ilivyo.....ndio maana Dodoma hata baada ya muda wa kujiandikisha kupita NEC iliwafuta maofisini kuwabembeleza wajiandikishe kupiga kura!?
 
Back
Top Bottom