Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Kama haviko hivyo huwa mnaweka mawakala wa nini?Wewe unazungumzia nadharia, vitendo haviko hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama haviko hivyo huwa mnaweka mawakala wa nini?Wewe unazungumzia nadharia, vitendo haviko hivyo.
Hoja zimeibuliwa nyingi kupinga hoja zake umeona akipinga hata moja? Huyo ni mnafiki,mzandiki na mkabila.Pascal Mayalla bandiko la swali uliloleta limedhihirisha hakuna mwenye uwezo wa kujibu kwa hoja za msingi au wanaogopa kuukubali ukweli!!
Kwa maoni yangu, kuhusu wachangiaji wanaojadili 'personality' kuliko hoja, tatizo naliona katika aina ya wachangiaji wenye matatizo yafuatayo: 1) Kuna tatizo la elimu. Tatizo la elimu ni tatizo linalohusu uelewa wa mtu na hasa aina ya elimu aliyopata na aliyoendelea kupata. Kuna msemo usemao 'nyoka huuma afikiapo'. Nyoka hawezi kuuma sehemu ambayo hawezi kufikia - yaani, kama anaweza kufikia mguu, hawezi kuuma sehemu ya shingo au kichwa. Hivyo, ukiona mchangiaji anaacha hoja na kuamua kumshambulia mtoa hoja ina maana elimu yake ndiyo imefanya afanye hivyo na asingeweza kufanya tofauti na hicho alichokifanya. Mfano mzuri unoelezea 'point' hii ni kusoma Plato's 'allegory of the cave' au Paul Freire's theory of education. 2) Tatizo la kujadili hoja: ni tatizo linalohusu 'skills' za kujadili na tatizo hili linawapata hasa wachangiaji wasio na 'exposure' kwa mijadala mbalimbali. Mfano, shule au vyuo vinavyotoa fursa za mijadala, washiriki au wafuatiliaji wa mijadala kama hiyo wanapata 'skills' za namna ya kujadili hoja na kubaki kwenye hoja bila kuhama. 3) Tatizo la 'arrogance': kuna wachangiaji wanaojiona kama wao tu ndio wenye haki na uwezo wa kujadili au kutoa hoja na wengine ni wasikilizaji au ni wa kufuata tu. Wachangiaji wa aina hii hawatoi fursa au hawampi mchangiaji mwingine nafasi ili achangie au aeleze anavyoelewa hoja iliyo mezani na wanarusha maneno makali makali ili wao waonekane washindi mbele ya wachangiaji wengine. 4) Tatizo la kutokuwa 'critical thinker' - 'critical thinker' ni mchangiaji anayepima kwanza anachotaka kuchangia kabla ya kupima wachangiaji wengine wanachochangia (thinking about one's own thinking). 5) Kuna tatizo la maadili ya anayechangia hoja. Na hapa niongeze kitu kinachoitwa 'dhamiri'. Pamoja na kwamba kila mmoja wetu anapaswa kufuata 'dhamiri njema' (certain conscience) katika kuamua afanye nini kwa wakati husika, tunapaswa pia kuendelea kutafuta ukweli ukweli wa jambo hadi tuwe na 'informed conscience' (au informed judgement) na kwa point hii tunaweza kuongeza pia kusema kwamba tunapaswa tujadili hoja ambayo tuko 'well-informed' au at least tuko 'informed' na siyo kudandia au kuchangia hoja tu kwa vile tunaweza kusema au kuweka maneno pamoja hata kama hayana mtiririko wa maudhui. Mchangiaji asiye na maadili hajali anachochangia hata kama kinawaumiza wengine maana ana dhamiri butu au iliyokufa. Lakini mwenye maadali hawezi kufurahia akiwashambulia wengine na kuwadhalilisha kwa vile tu wametoa maoni yao au ndivyo wanaovyona kwa upande wao. Huenda kuna sababu nyingine zaidi ya hizi. Ila jambo muhimu ni kuendelea kujifunza namna ya kujadili hoja bila kutumia lugha inayowaudhi wengine na wala bila kuwashambulia au kuwadhalilisha wachangiaji wengine. Lengo la mjadala au kujadili hoja ni kutaka kubadilishana mawazo na kutokana na hilo tunajifunza mambo mbalimbali. Kuna wachangiaji humu tunafahamiana siyo kwa sababu tulishakutana, bali ni kwa sababu tu hoja zao zimetujenga na tunatamani na sisi tuwe tunachangia kama wao. Wachangiaji wote wanaotumia lugha ya kistaarabu katika mijadala mbalimbali nawaheshimu sana na ninajifunza mengi kutoka kwao. Tuendelee kuelimishana na kushauriana kwa lengo la kujenga nchi yetu na kuiendeleza.Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf tumevamiwa na ma simple minds ambao kazi yao ni kujadili watu badala ya kujadili ideas!. Kumezuka mtindo wa watu kutokujadili hoja iliyo mezani na badala yake kumjadili mtoa hoja!. Tujifunze kujadili mada iliyo mezani na sio kumjadili mtoa mada.
Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%, kama ilivyoshinda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ambao ulikuwa huru na wa haki!.
Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa ,wote wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kuna baadhi wanataka kunatumia ugombea urais kama kichaka tuu cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.
Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.
Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.
Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote wa Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli wanataka kugombea kumkabili Magufuli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.
NB. Leo ninapozungumza haya, sii wengi wanajua kuwa kuna baadhi ya wabunge wa majimbo wa Chadema, hawatagombea tena uchaguzi wa 2020, hivyo namna nzuri ya kutogombea kwa heshima ni kugombea urais!. Lakini kwa wale ambao hawatapitishwa kwenye urais na kuendelea kugombea ubunge, then bandiko hili haliwahusu!.
Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?u
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.
Elections 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
😂😂😂 naona limemshinda kweliHilo swali ni gumu sana kumuuliza huyo mtu maana hana akili ya kujibu swali lako.
[emoji23][emoji23][emoji23] naona limemshinda kweli
Mr. P. This is too much. Nikuulize, utagombea Jimbo gani mwaka huu?Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf tumevamiwa na ma simple minds ambao kazi yao ni kujadili watu badala ya kujadili ideas!. Kumezuka mtindo wa watu kutokujadili hoja iliyo mezani na badala yake kumjadili mtoa hoja!. Tujifunze kujadili mada iliyo mezani na sio kumjadili mtoa mada.
Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%, kama ilivyoshinda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ambao ulikuwa huru na wa haki!.
Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa ,wote wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kuna baadhi wanataka kunatumia ugombea urais kama kichaka tuu cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.
Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.
Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.
Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote wa Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli wanataka kugombea kumkabili Magufuli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.
NB. Leo ninapozungumza haya, sii wengi wanajua kuwa kuna baadhi ya wabunge wa majimbo wa Chadema, hawatagombea tena uchaguzi wa 2020, hivyo namna nzuri ya kutogombea kwa heshima ni kugombea urais!. Lakini kwa wale ambao hawatapitishwa kwenye urais na kuendelea kugombea ubunge, then bandiko hili haliwahusu!.
Jumatatu Njema.
Paskali
Update
Hoja yangu kumhusu Lissu katika bandiko hili, pia imeibuliwa na mwana jf huyu katika bandiko hili
Elections 2020 - Please CHADEMA, mtapata mnachokitafuta
Naunga mkono hoja kuhusu ndio the best man wa kum challenge rais Magufuli kwasababu Lissu ni zaidi ya Magufuli katika... kama nilivyoeleza hapa
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!
However, I'd like to differ kwenye Lissu kumshinda Magufuli!. Lissu will only challenge but not to win but just to challenge na sio kumwangusha Magufuli kwasababu...
Ila hili wimbi la watia nia wa Chadema hadi Mbowe, tells me kuwa Lissu ni Just a Pacemaker and not a contender kwasababu ana mlolongo wa kesi za jinai, hivyo hii hoja yangu kumhusu Lissu na kurejea kwake, kwangu is still valid
Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!
Usikute wanamngoja Lissu kwa hamu!, Lissu anajua!, Chadema wanajua,... wanaomsubiri arudi, watasubiri sana!.
P
Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.
Elections 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
Mkuu Ngongo, kwanza naunga mkono hoja ya presidential candidature ya Tundu Lissu kwasababu ni presidential material, hata mimi nilishauriHeshima kwenu wanajamvi.
Ningekuwa na mamlaka ndani ya CHADEMA Mh Lissu angepitishwa mapema asubuhi bila kupoteza muda.Nafikiri ni muda muafaka haswa ndani ya CHADEMA kuacha kupoteza muda Mh Lissu anauzika kirahis zaidi ukilinganisha na wagombea wengine hasa katika majira haya yanayo hitaji mtu wa kushindana na Mh Magufuli ambaye katika kipindi cha miaka mitano amehakikisha upinzani haupati nafasi ya kusikika huku yeye binafsi akitumia vyombo vya habari sana.
Ndio leo najua kwamba kumbe ukishindwa kuteuliwa kuwania urais kupitia chama chako, basi hata ubunge hautaweza kuwania tena... bali kuna baadhi wanataka kunatumia ugombea urais kama kichaka tuu cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.
Ameshaamua kujitoa ufahamu kabisaNdio leo najua kwamba kumbe ukishindwa kuteuliwa kuwania urais kupitia chama chako, basi hata ubunge hautaweza kuwania tena
Jadili hoja iliyopo mezani, ahaaaaa.Una akili za kishamba sana !
Number don't lie,Wanabodi,
Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge karibu wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%, kama ilivyoshinda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ambao ulikuwa huru na wa haki!.
Paskali