Voice of Tanzania JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 2,036 Reaction score 3,107 Jun 28, 2023 #21 Azam wauni yaani wakiongeza mtu mkataba nayo inakua agenda kitupigia kelele mwaka huu watashika nafasi ya 6 Sasa kwa sajiri zao za mitandaoni
Azam wauni yaani wakiongeza mtu mkataba nayo inakua agenda kitupigia kelele mwaka huu watashika nafasi ya 6 Sasa kwa sajiri zao za mitandaoni
Ahyan JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 2,310 Reaction score 5,482 Jun 28, 2023 Thread starter #22 Sawa.. Mayele yupo salama, mambo mengine yaendelee
Ahyan JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 2,310 Reaction score 5,482 Jun 28, 2023 Thread starter #23 Sajili huenda sambamba na tetesi, sasa Kama mtu wa mpira huelewi hili nitakushangaa sana
FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,600 Reaction score 10,760 Jun 28, 2023 #24 Voice of Tanzania said: Azam wauni yaani wakiongeza mtu mkataba nayo inakua agenda kitupigia kelele mwaka huu watashika nafasi ya 6 Sasa kwa sajiri zao za mitandaoni Click to expand... Wakisha unaumia?
Voice of Tanzania said: Azam wauni yaani wakiongeza mtu mkataba nayo inakua agenda kitupigia kelele mwaka huu watashika nafasi ya 6 Sasa kwa sajiri zao za mitandaoni Click to expand... Wakisha unaumia?