Je, kuna uwezekano kuwa Azam FC wamemsajili Mayele?

Je, kuna uwezekano kuwa Azam FC wamemsajili Mayele?

Azam wauni yaani wakiongeza mtu mkataba nayo inakua agenda kitupigia kelele mwaka huu watashika nafasi ya 6 Sasa kwa sajiri zao za mitandaoni
 
Sawa.. Mayele yupo salama, mambo mengine yaendelee
 
Sajili huenda sambamba na tetesi, sasa Kama mtu wa mpira huelewi hili nitakushangaa sana
 
Back
Top Bottom