Je kuna uwezekano wa ku apply hata chuo?

Je kuna uwezekano wa ku apply hata chuo?

Joined
Jan 8, 2014
Posts
93
Reaction score
32
Naomba mnisaidie wakuu
nina rafiki yangu nime hitimu nae kidato cha IV mwaka 2013 ila kwa bahati mbaya hajapata ufaulu wa kuridhisha.matokeo yake haya apa
kisw~B
eng~C
Civ~D
Bio~D
Geo~D
Chem~E
Hist~E
B/math~F
Phis~F
Naomba ushauri wenu wakuu kama kuna uwezekano wa kuapply chuo cha ualim kwa hzo alama zake.
shukran.
 
C ana fo ya 34 hyo bro? Kama vp mwambie aaplai wizara ya elimu.Angekuwa na d ya phs angeaplai afya.
 
Yeah vyuo vingi vya certificate Mzumbe, Saut,cbe, tia, n.k vigezo ni angalau D 3 we ushapita vigezo.
 
Naomba mnisaidie wakuu
nina rafiki yangu nime hitimu nae kidato cha IV mwaka 2013 ila kwa bahati mbaya hajapata ufaulu wa kuridhisha.matokeo yake haya apa
kisw~B
eng~C
Civ~D
Bio~D
Geo~D
Chem~E
Hist~E
B/math~F
Phis~F
Naomba ushauri wenu wakuu kama kuna uwezekano wa kuapply chuo cha ualim kwa hzo alama zake.
shukran.

Karibu the roman's college-kilombero Morogoro Ni chuo kinatoa certificate na Diploma kwa kozi za:
IT, HIV and AIDs counseling, Accounting, Community and Development, Nursery Teaching, Procurement and Supply, Business Administration and Full Secretarial course,

Karibu mazingira mazuri sana kwa kufundisha Internet yenye speed ya 3G kwa kila computer, library yenye vitabu vyenye kukidhi mahitaji yako, Hostel za kike na kiume zenye ulinzi wa kutosha na mazingira safi ya kusomea ukiwa hostel..

kwa mawasiliano ni pm

karibu sana.
 
Back
Top Bottom