Shuaibu yahaya
Member
- Jan 8, 2014
- 93
- 32
Naomba mnisaidie wakuu
nina rafiki yangu nime hitimu nae kidato cha IV mwaka 2013 ila kwa bahati mbaya hajapata ufaulu wa kuridhisha.matokeo yake haya apa
kisw~B
eng~C
Civ~D
Bio~D
Geo~D
Chem~E
Hist~E
B/math~F
Phis~F
Naomba ushauri wenu wakuu kama kuna uwezekano wa kuapply chuo cha ualim kwa hzo alama zake.
shukran.