Habari ya wikiendi wadau..
Naomba wale wazoefu na wataalamu wa mambo ya sheria na ndoa wanisaidie katika hili.
Hivi kuna uwezekano wa kubadilisha majina katika cheti cha ndoa? Na kama hilo linawezekana je ni utaratibu gani unapaswa kufuatwa,?
Asanteni