Je, Kuna uwezekano wa kuongeza Members zaidi ya 256 kwenye kundi la WhatsApp?

Je, Kuna uwezekano wa kuongeza Members zaidi ya 256 kwenye kundi la WhatsApp?

Gemini Are Forever

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2019
Posts
1,508
Reaction score
2,619
Habari, wanaJF!

Title imejitosheleza. Je, Kuna uwezekano? Kama upo ni kwa namna gani?

Naomba kufahamishwa.
 
Telegram hata watu 200,000 tunakaa kwa group 1 tu na wote tunaweza kua controlled na admins wachache tu hata mmoja [emoji23] na bots kadhaa..
 
Back
Top Bottom