Je, kuna uwezekano wa kuvipata hivi vitabu aidha softcopy au hardcopy?

Je, kuna uwezekano wa kuvipata hivi vitabu aidha softcopy au hardcopy?

GokuOne

Senior Member
Joined
Jan 19, 2022
Posts
196
Reaction score
263
Habarini wanaJF,

Moja kwa moja kwenye hoja.

Je, kuna uwezekano wa kuvipata hivi vitabu aidha softcopy au hardcopy kwa majina vinaitwa:

"TEMPTETATION AND OTHER STORIES" mwandishi anaitwa AGORO ANDURU

"YOUR ROOTS GRANDSON AND OTHER STORIES" mwandishi ni LAWI JOEL.

Ni vizuri sana yaani sana.

NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom