Itakua umeanza kufuatilia mpira Juzi. Yanga ndio timu ya kwanza Soka apa Tanzania iliyokua inamiliki uwanja wake.
Kwasasa uwanja wa Kaunda hautumiki ili kupisha mradi mkubwa wa ujenzi wa uwanja wa kisasa.
Pre season zote na mechi za kirafiki zimechezwa pale kwa miaka mingi.
Yanga kids, Yanga B na Sinior tem zimekua zikicheza mazoezi na mechi kwa miaka mingi Sana.
Tangu miaka ya 70 Yanga walikua wakitumia uwanja wao wa kaunda kwa vitalu vya soka la watoto, vijana mpaka Sinior Team.
Wengi wenu mbumbumbu Fc ham fahamu ilo.