Wadau hivi wizara ya afya inaweza kutoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo ktk ngaz ya diploma na cheti,wiki ijayo?au bado sana?mwenye tetesi kuhusu hili naomba atujulishe please!
Ebu tujarib kuchek 2012 ilikuwaje, inaonyesha walicheleweshewa ad Nov 23 rd, xo inaweza ikawa the same applied on 2012..., cha msingi kuipitia MOH website everyday paka pale tutakapo kutananayo mtandaoni.
Binafsi nimeenda wzrn zaid ya mara3 bila mafanikio dhidi ya kkuta tangazo lmebandkwa pale nje kwa mlinzi lnasomeka hv"WZR BADO HAIJATOA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOOMBA DIP NA CERT. NA MARA YATAKAPOTOKA YATAPATKANA KWENYE MBAO ZA MATANGAZO YA WZR NA KWENYE WEBSITE" kwhyo mkuu ucwe na pressure.
Wizara inafanya watu washindwe kufanya maamuzi,nina ndugu yangu amechaguliwa muhimbili(dip'ma ya lab' ) ila anapenda sana clinical medicine but wizara ndio hivyo tena