Je,kuna uwezekano wizara ya afya kutoa majina wiki ijayo?

Je,kuna uwezekano wizara ya afya kutoa majina wiki ijayo?

Ba Liz

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
58
Reaction score
8
Wadau hivi wizara ya afya inaweza kutoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo ktk ngaz ya diploma na cheti,wiki ijayo?au bado sana?mwenye tetesi kuhusu hili naomba atujulishe please!
 
Hey mi nimechek mbona kuna mengne yametoka
 
Ni kweli kaona hilo tanganzo ndo maana kasema yametoka!
 
Hapa hata kama una tetesi huwezi sema maana MOH hawako serious
 
Hahaha hv niliyoyaona inamana ni uongo au
 
Ebana kama kuna mtu anayo link ya hiyo list basi atuwekee humu coz kuna ndugu yangu anashida nayo sana, msaada plz.
 
Mnafikili system inapita kimya kimya nini?? Kama ni hivyo utajashtuka mwaka unapinduka harafu unaambiwa subiri yatatoka tu!!-(HII NDO TANZANIA)
 
Ebu tujarib kuchek 2012 ilikuwaje, inaonyesha walicheleweshewa ad Nov 23 rd, xo inaweza ikawa the same applied on 2012..., cha msingi kuipitia MOH website everyday paka pale tutakapo kutananayo mtandaoni.
 
Binafsi nimeenda wzrn zaid ya mara3 bila mafanikio dhidi ya kkuta tangazo lmebandkwa pale nje kwa mlinzi lnasomeka hv"WZR BADO HAIJATOA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOOMBA DIP NA CERT. NA MARA YATAKAPOTOKA YATAPATKANA KWENYE MBAO ZA MATANGAZO YA WZR NA KWENYE WEBSITE" kwhyo mkuu ucwe na pressure.
 
Wizara inafanya watu washindwe kufanya maamuzi,nina ndugu yangu amechaguliwa muhimbili(dip'ma ya lab' ) ila anapenda sana clinical medicine but wizara ndio hivyo tena
 
Back
Top Bottom