Je kuna uwezokano mjamzito atumie vidonge vya kutoa mimba bila mafanikio; azae?

Je kuna uwezokano mjamzito atumie vidonge vya kutoa mimba bila mafanikio; azae?

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2017
Posts
6,097
Reaction score
7,199
Wataalam,

Naombeni jibu. Dem kashika mimba within 3 weeks akagundua kwamba anamimba na hakua tayar kuzaa, akatumia vidonge vya kutoa mimba.

Anasema dalili zilionyesha kwamba alianza kupata maumiv ya tumbo kama vile dawa zinafanya kazi.

Baada ya miez 4 aliugua tumbo sana, akaenda hospitali. Akapimwa na kuambiwa anayo mimba ya miez 4.

Je hii inawezekanaje? Na je kunao uwezekano wa kuzaa salama?
 
Kutoa mimba ni sawa na kuua mtu kabisa.
Sisi wakatoliki tunakemea kabisa utoaji mimba.
nenda kwa padre ukaungame hiyo dhambi ya mauaji
 
Padre ni Mjumbe wa Mungu huku duniani.
Kama waganga wa kienyeji, wachawi na wanga walivyo wajumbe wa yule mwovu huku duniani
Padre hawa ambao tunaishi nao na tunashuudia wao pia wakifanya dhambi ndo wana uwezo wa kusamehe dhambi za wenzao......! Sawa mkuu Asante kwa kunijulisha
 
Padre hawa ambao tunaishi nao na tunashuudia wao pia wakifanya dhambi ndo wana uwezo wa kusamehe dhambi za wenzao......! Sawa mkuu Asante kwa kunijulisha

Mkuu padre ni ofisi siyo mtu. Ukilewa ukajinyea haikufanyi kutokuwa baba, inakufanya kuwa mtu mlevi anayejinyea. Mwenye akili na afahamu yale mambo Roho anawaambia mataifa
 
Mkuu padre ni ofisi siyo mtu. Ukilewa ukajinyea haikufanyi kutokuwa baba, inakufanya kuwa mtu mlevi anayejinyea. Mwenye akili na afahamu yale mambo Roho anawaambia mataifa
Sawa mkuu ila me bora nikae na dhambi zangu kuliko kwenda kuomba msamaha kwa binadamu mwenzangu ambae cheo chake anakipata kwa kusomea labda kama wangekuwa wanateuliwa na Mungu hapo sawa
 
Ukiamua kutoa toa ukinyw dawa na isipotoka unavuruga system ya ukuaj wa mtoto anaweza kuzaliwa n matatizo......maan izo dawa alizokunywa haruhusiwi haruhusiw ila yeye kanywa
 
Watu wanalia kukosa watoto, nyie mnataka kutoa mimba, maniner!
 
Uwezekano ni mkubwa sana
Mtu anapotaka kutoa mimba huwa kuna ma2 itoke au ibaki

Yote yanawezekana mkuu jiandae kulea ila omba Mungu mtoto awe salama
 
Duh kumbe mimba inamiez minne??? Vipi shule kaacha ama ? Aisee sepa segerea hyo inakuita
 
Naona mada za kutoatoa mimba zimekuwa nyingi humu...mtavuna mlichopanda
 
Back
Top Bottom