kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Kwahiyo padre anasamehe dhambi za watu kumbeKutoa mimba ni sawa na kuua mtu kabisa.
Sisi wakatoliki tunakemea kabisa utoaji mimba.
nenda kwa padre ukaungame hiyo dhambi ya mauaji
Kwahiyo padre anasamehe dhambi za watu kumbe
Padre hawa ambao tunaishi nao na tunashuudia wao pia wakifanya dhambi ndo wana uwezo wa kusamehe dhambi za wenzao......! Sawa mkuu Asante kwa kunijulishaPadre ni Mjumbe wa Mungu huku duniani.
Kama waganga wa kienyeji, wachawi na wanga walivyo wajumbe wa yule mwovu huku duniani
Padre hawa ambao tunaishi nao na tunashuudia wao pia wakifanya dhambi ndo wana uwezo wa kusamehe dhambi za wenzao......! Sawa mkuu Asante kwa kunijulisha
Sawa mkuu ila me bora nikae na dhambi zangu kuliko kwenda kuomba msamaha kwa binadamu mwenzangu ambae cheo chake anakipata kwa kusomea labda kama wangekuwa wanateuliwa na Mungu hapo sawaMkuu padre ni ofisi siyo mtu. Ukilewa ukajinyea haikufanyi kutokuwa baba, inakufanya kuwa mtu mlevi anayejinyea. Mwenye akili na afahamu yale mambo Roho anawaambia mataifa
[emoji23]icho kichanga kitakuwa na nyota ya Tundu Lisu.
abortion is a murder..