Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu.
Kwa mujibu wa Kanuni za kijeshi Kanali anatakiwa awe na vigezo au sifa zipi ili kusudi apandishwe cheo na kuwa Brigedia Jenerali?
Je, inaweza kutokea akapandishwa cheo bila kuzingatia Kanuni hizo za kijeshi? Nasisitiza vigezo kwa mujibu wa Kanuni za kijeshi na siyo vinginevyo.
Niwatakie siku njema wapendwa.