Je, kuna wanafunzi wa mwaka wa pili na watatu wamepata mkopo?

Joined
Dec 26, 2015
Posts
68
Reaction score
46
Wakuu habari

Naomba kuuliza kama kuna mwanafunzi yeyote continuous kapata mkopo mpaka sasa maana kwa mujibu wa tangazo la HSLB wanadai kuwa wametoa mkopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza hakuna sehemu wanawataja continuous.

Lakini vile vile katika tangazo lao wanasema wamefungua dirisha la rufaa kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza ambao hawajaridhika na kiwango cha mkopo maana yake kwa ambao hawajapata kabisa hawaruhisiwi ku. appel
 
Watu watajua Continuous wote hawajapata mkopo.

Anamaanisha Continuous ambao hawakupata mkopo wakiwa mwaka wa kwanza, wakaomba tena awamu hii, je kuna ambae kapata?
 
Wakuu habari

Naomba kuuliza kama kuna mwanafunzi yeyote continuous kapata mkopo mpaka sasa maana kwa mujibu wa tangazo la HSLB wanadai kuwa wametoa mkopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza hakuna sehemu wanawataja continuous.

Lakini vile vile katika tangazo lao wanasema wamefungua dirisha la rufaa kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza ambao hawajaridhika na kiwango cha mkopo maana yake kwa ambao hawajapata kabisa hawaruhisiwi ku. appel
Update zote ni kwa mwaka wa kwanza , continuous student lazma wapate mkopo hivyo Basi kuwa mvumilivu
 
Continuos tutaumia sanaa , unaambiwa CBE kapata mmoja ila tuwe wavumilivu
 
Back
Top Bottom