tutaishi milele
Member
- Dec 26, 2015
- 68
- 46
Ndio aise namaanisha hivyoWatu watajua Continuous wote hawajapata mkopo.
Anamaanisha Continuous ambao hawakupata mkopo wakiwa mwaka wa kwanza, wakaomba tena awamu hii, je kuna ambae kapata?
Update zote ni kwa mwaka wa kwanza , continuous student lazma wapate mkopo hivyo Basi kuwa mvumilivuWakuu habari
Naomba kuuliza kama kuna mwanafunzi yeyote continuous kapata mkopo mpaka sasa maana kwa mujibu wa tangazo la HSLB wanadai kuwa wametoa mkopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza hakuna sehemu wanawataja continuous.
Lakini vile vile katika tangazo lao wanasema wamefungua dirisha la rufaa kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza ambao hawajaridhika na kiwango cha mkopo maana yake kwa ambao hawajapata kabisa hawaruhisiwi ku. appel
Mbina kwenye akunti zao wameandikiwa wanatakiwa kuappealUpdate zote ni kwa mwaka wa kwanza , continuous student lazma wapate mkopo hivyo Basi kuwa mvumilivu
Yah ni kweli nimepata taarifa kuwa inabidi mu appealMbina kwenye akunti zao wameandikiwa wanatakiwa kuappeal